Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

Mimi nadhani anachokifanya Mbowe ni kumhakikishia kuwa kuna watu wanamfuatilia kwa makini matendo yake na asi wa take for granted. Kwa upande mwingine msimamo na matamshi ya Mbowe yanamjengea legitimacy katika chama chake kama mrithi wa JPM. Kwa CCM wengi adui namba moja ni Mbowe na angeonyesha kuwa anamkubali kwa aina yeyote Mheshimiwa Rais wetu ungewafanya wamtilie mashaka, kwa maneno mengine ingekuwa ndio busy la kifo kwake. Wapambe wako wengi ( Zitto n.k.) Mbowe hahitajiki kujiunga nao. Huu msimamo unawajenga wote wawili, Mbowe kama mpinzani asiyetetereka na Mheshimiwa Rais kuwa yeye ni mrithi sahihi wa Mwendazake.

Amandla...
 
Hapo sasa Dj Mbowe atashangaa anataka kucheza na Mama atashangaa ajawaita kwenye kikao wakashindwa kutoa ya moyoni
 
Sasa Mkuu ikiwa Mama anasema anafuata nyayo za Magufuli aliyekimbiza wawekezaji lakini wakati huohuo anataka kurudisha imani ya wawekezaje wewe unaelewa nini ?
Sharti ni kwamba asigeuke nyuma lakini kelele ni nyingi za huyooo huyoooo! Hicho ndicho kivuli but SASHA is detemined, deliverables shall speak.
 
Sasa Mkuu ikiwa Mama anasema anafuata nyayo za Magufuli aliyekimbiza wawekezaji lakini wakati huohuo anataka kurudisha imani ya wawekezaje wewe unaelewa nini ?


Hamjui siasa?
Unataka mama aende bungeni aseme Magufuli alifukuza wawekezaji?
 
Sometimes naona kizunguzungu jinsi wanasiasa walivyo hawaeleweki wanataka nini utafikiri wanatumwa kuzingua tu
 
Ulitaka Mbowe afanye nini wakati mijizi iliiba kura na bunduki zinazonunuliwa kwa Kodi zetu..aaarrggghhh
 
Mimi napendekeza kwamba tumpe mama Samia nafasi. Hayo machache anayosema, mfano kukutana na vyama vya upinzani, Magufuli hakuwahi kuyafanya. Alifanya tu usanii wa kuwaita baadhi ya viongozi, kukidhi malengo yake ya kisiasa. Mheshimiwa Mbowe uliomba Rais akutane na viongozi wa CHADEMA. Tumieni kwanza hiyo fursa, kisha ndipo hukumu itolewe.
Sioni kama SSH ana uhuru kihivyo. Lakini ukweli hasa utajidhihirisha. Kwa sasa tumpe nafasi acheze kete zake
 
Amini sasa
Chadema Wote hawanaga akili
 
Sawa mkuu
 
Wajinga kumbe bado mpo ee? Badilikeni mfikie mahali mjue umuhimu wa upinzani katika nchi.
 
Nyumbu bwana! Kwa hiyo mnategemea rais wa ccm siku moja atawapa katiba mpya na hiyo tume huru. Hamkuona nguvu ya ccm pale yule mzee wa Msoga alipokaribia kuwapa katiba mpya!

Acha mwenyekiti wenu wa kudumu aendelee kuwayumbisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…