Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Hivi hata angenyamaza tu ingekuwaje , unamuungaje mkono mtu wa namna ile hadharani ?kwaiyo nyie mbumbumbu mlitaka aseme hadharani kwamba haungi mkono aliyokua akiyafanya magufuli?
Sasa pamoja na unyama ule uliotendwa kulikuwa na haja gani ya mama kujitangaza kwamba yeye ni sehemu ya unyama ule , hawa watu walipofikia kwenye nchi hii haiwezekani tena kuwabembeleza , tuzungumze bila kumung'unya maneno
Mafue anamsubiri Hai 2025 kama bado atakuwa anafikiria Ubunge.
Sasa Mkuu ikiwa Mama anasema anafuata nyayo za Magufuli aliyekimbiza wawekezaji lakini wakati huohuo anataka kurudisha imani ya wawekezaje wewe unaelewa nini ?
Mada gani hapo kaongea ? Samia si Rais wa kuchaguliwa ni Rais kwa mujibu wa katiba ibara ya 37/5 yupo pale kumalizia kipindi cha miaka 4 kilichobaki utamtenganisha vipi na JPM ? Leo hakuna mradi atakaosema ambao umeanza kuanzia tarehe 19 mwezi 3 atataja miradi ambapo alishiriki kuianzisha kama makamu wa Rais na Rais ni JPM atajitenga nae vipi mbona ni vitu ambavyo hata darasa la 2 anaweza kujua au Mbowe hajui hili???
Wanao eneza maneno ya hovyo kama wewe mjiandaeHawa wanasiasa wawili wanaokuwa na tabia ya kujinasibu kuwa wao mabingwa wa uzandiki wa siasa za hapa Tanzania mbona wako Kimya?
Au ndio wanaunga juhudi kimyakimya maana tumeshuhudia miaka mitano chini ya hayati JPM wakiburuzwa na kugarazwa kama kambale kwenye matope.
Mtasakwa popote pale mlipoHujui Kick zao kisiasa kupata umaarufu.
Kwa hiyo ulitaka Samia asimame aseme yeye ni Chadema na anajitoa CCM?
Sasa pamoja na unyama ule uliotendwa kulikuwa na haja gani ya mama kujitangaza kwamba yeye ni sehemu ya unyama ule , hawa watu walipofikia kwenye nchi hii haiwezekani tena kuwabembeleza , tuzungumze bila kumung'unya maneno
Hata akikutana anataka wajadili jinsi ya kufanya siasa zenye tija kwa nchi.Hawa wanasiasa wawili wanaokuwa na tabia ya kujinasibu kuwa wao mabingwa wa uzandiki wa siasa za hapa Tanzania mbona wako Kimya?
Au ndio wanaunga juhudi kimyakimya maana tumeshuhudia miaka mitano chini ya hayati JPM wakiburuzwa na kugarazwa kama kambale kwenye matope.
Mauaji yasijirudie.Ukweli mchungu.
Hivi huwa una akili?Wanao eneza maneno ya hovyo kama wewe mjiandae
dikteta wa Chadema mnywa konyagi