LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mama aendelee kusimamia mwenyewe, JPM alishakufa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya Watanzania tunamchukia mtu badala ya kupinga hoja. Alichoongea Mbowe ni ukweli wa dhahiri.Huyu jamaa muda mwingine nuru muda mwingine giza...Hapaswi kabisa kuwa kiongozi
Ila anakosea anaposema ni kitu kimoja na mwenda zake, anatuacha na maswali na kufanya tusisimuke mwili, kwamba yu kitu kimoja na ni sawasawa na mwendazake??????,kaisha tuchanganya KWA msisitizo wa kauli yake hiiHiyo kauli inawafariji maccm
Rais samia hawezi kuwa na tabia za kibedhuli kama yule JiZi la kura
Nyumbu bwana! Kwa hiyo mnategemea rais wa ccm siku moja atawapa katiba mpya na hiyo tume huru. Hamkuona nguvu ya ccm pale yule mzee wa Msoga alipokaribia kuwapa katiba mpya!
Acha mwenyekiti wenu wa kudumu aendelee kuwayumbisha.
Tatizo lake juisi ya ikulu tu, akienda kunywa juisi kwisha..
Huyu Mkimbizi Uchwara atupishe. Ya CDM yamemshinda
Social media haziepukiki labda kama huishi dunia hii.Ila Mama Samia bado anaonyesha lots of weak points
1. Kwenda Bungeni na kukiri kwamba anasoma sana propaganda na matango pori ya social media ni udhaifu
2. Kurudiarudia kauli kwamba yeye ni mwanamke ila watu wasiwe na hofu na uwezo wake kwa kuwa amekulia kwenye mazingira bora ni uzwazwa
3. Hakukuwa na haja ya “kukiri udhaifu” kwamba vyombo vya dola haviwezi kuwapata wanaoprapagate uzushi. Kwanza kwanini ujishughulishe na watu hata usiowajua?
Body language ya viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama haionyeshi kabisa kama Mama anacommand genuine respect
There are some traces of truth in Mbowe's post in Twitter. We need to heal as a nation from pain inflicted to our people the past regime knowingly or otherwise.
Unataka kutuambia kwamba mama nae ni mnafiq?kwaiyo nyie mbumbumbu mlitaka aseme hadharani kwamba haungi mkono aliyokua akiyafanya magufuli?
Ebu muambieni atulize akiliyake nayeye, mmeshaambiwa mtaitwa mkajadiliane, alafu anaanza kuzingua.
Kabisa inashangaza kwamba Samia anajiambatanisha na magufuli, je yupo tayari kubeba madhambi ya magufuli?
Ukiwa kwenye heat una shida sana wewe dadaHawa wanasiasa wawili wanaokuwa na tabia ya kujinasibu kuwa wao mabingwa wa uzandiki wa siasa za hapa Tanzania mbona wako Kimya?
Au ndio wanaunga juhudi kimyakimya maana tumeshuhudia miaka mitano chini ya hayati JPM wakiburuzwa na kugarazwa kama kambale kwenye matope.
Ile ni pesa mkuu, hakuna mtu anaacha pesaHahahahhaaa... nimecheka sana.
Hivi kwanini mbowe hang'atuki kwenye saccos yake ya kichaga!
Hizo ni kauli za kisiasa tu kuwapoza wapenzi wa magufuli kumbuka magufuli ana familia kubwa ndugu jamaa na marafiki ambaoa kwa namna moja ama ingine ukianza kumponda unaweza ukaleta shida isiyo ya lazma.Sasa Mkuu ikiwa Mama anasema anafuata nyayo za Magufuli aliyekimbiza wawekezaji lakini wakati huohuo anataka kurudisha imani ya wawekezaje wewe unaelewa nini ?
Anamwandikia barua waonane ye km nani sasa?Hii siyo kauli ya kuanza upya, labda iwe siyo kauli ya Mbowe. Yeye alisema amemwandikia Samia barua wakutane, Samia kakubali sasa kabla hawajakutana anawezaje kuongea utafikiri Samia kakataa mawazo yao? No!
Wanataka avuruge nchi wapate pakusimamia mana sasaivi hawajui watoke vipi.Kwanini baadhi ya wanasiasa wanapenda rais ajipambanue wa tofauti na utawala wa hayati wakati yeye alikuwa msaidizi wake wa karibu? Mnataka mumgombanishe na chama chake na aonekane alikuwa mnafiki? Kwa kiongozi mwenye kusoma siasa ya sasa hawezi kufanya mnavyofikiria, kwani kufanya hivyo ni kuivuruga nchi na kuleta mgawanyiko. Hata Kama Kuna mabadiliko basi atayafanya lakini si kwa kumchafua mtangulizi wake. Mtego mnaotaka kumuingiza hata mtu asiye na maarifa anauona