Tundu Lisu na mwakagenda huwezi linganisha! Lisu na Mbowe, Lisu angelishinda, unajua hilo?
Ulitaka akutekenye wewe? Yuko busy na mambo ya chama, nenda Lumumba ukatekenyweMbowe anajitekenya mwenyewe, yaani mkimbizi asiyetarajia kurudi nchini anashinda kwa kishindo alafu sumaye mgombea pekee anashindwa uchaguzi hahhahaaaaaaa chama kina wenyewe.
Ni kweli Lisu anakubalika kuliko Mbowe hapo Ufipa hata spika Ndugai aliwahi kusema!Tundu Lisu na mwakagenda huwezi linganisha! Lisu na Mbowe, Lisu angelishinda, unajua hilo?
Kwani mzee wake ni Mfipa?
Nilijua utalidakia hilo maana Mbowe amewakalia pabaya!Ni kweli Lisu anakubalika kuliko Mbowe hapo Ufipa hata spika Ndugai aliwahi kusema!
This is silly (sorry to use such a word).Hongera zao mashujaa wetu Freeman Mbowe na Tundu Lissu na hakika "wishes" za jamaa zetu wa Lumumba za kutupenyezea wasaliti wao zimeshindwa!
Hongera zao mashujaa wetu Freeman Mbowe na Tundu Lissu na hakika "wishes" za jamaa zetu wa Lumumba za kutupenyezea wasaliti wao zimeshindwa!
Huu ni ukweli usiopingika; wakatae; wakubali; Tulianza na Mungu, Tutaendelea na Mungu na tutamaliza na Mungu; Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki CHADEMA.Huu ushindi wa Mbowe na Lissu ni Ushindi wa Tanzania na watanzania.
Mungu bariki watu wako.