Wafanyabiashara wakubwa wengi wana account ndani na nje ya nchi.Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Duh *****Amesema wamezifungua lakini wamefuja mahela yake.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nasisi tunashukuru Mungu katutua huo mzigo wa MisumariWamesha Muombea na Mungu Kapokea Maombi yao
watanzania hatuna ukatili wa kiwango hiki. uraia wa huyu mtu uchunguzwe
With wangu kwa wananchi:-
Usiweke hela benki. Kuiamini CCM ni sawa na kumwamini huyu mwenye rangi saba kama rainbow
View attachment 1749363
Wana Ccm ndio mataga,hilo ni jinalenu.Kilaza plus, wanasiasa wote hato hao mataga wanaweka hela zingine bank za njee
Yaani mataga magu aliwashika hadi ubongo
Watu wameumizwa na Mwendazake Inawezakana wewe ni kijukuu cha Lucifer Kama uamini maneno ya Mbowe ndio maana amesema ushaidi wote wanao Mwamba uwa akurupukiKama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..
Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..
Waendelee tu kuongea...........
Mm namshukuru Mungu kwa kumuondoka duniani maana angepiga 5 tena sjui tungeishije.Mbowe anafungua milango ya wengine kufunguka ukweli...melo alikua na roho kama shetani alikosa utu kabisa.... wafanyabiashara wengi wameporwa hela zao
Hata muhongo ameenda shuleWewe taahira hapa tunajadili kauli ya Mbowe ama CAG? Hvi ulienda shule kweli? Kichwani umejaza mavi ama matope?
Hii ndo point ya msingi yaani afungiwe account zake si angepata kick kabisa ya kisiasaSasa naamini kuna kampeni chafu ya kumchafua JPM!
Kama ni toka 2018 alishindwa nini kuitumia ktk siasa za uchaguzi kama ilivyo kwa wanasiasa wetu kutafuta sympath!!
MiMi nilivyoonaga hali halisi ya magu,nilifunga account zangu zote za bank. Na sikulazimishwa na mtu.