Sikiliza maelezo yake mwenyewe anasema baada ya kufungiwa ndio akaamua kwenda Dubai kuanzisha biashara, hakusema kama alikua na biashara huko.
Wewe kilaza unaejiita Hakimu Mfawidhi.
Wewe Ni Hakimu wa wachawi mnahukumu watu wema "Nani afe leo".
Wapi Mbowe amataja ameenda Dubai kutafuta biashara nyingine?
Mbowe kasema kaenda NJE.
Kwa ukilaza wako nje Ni Dubai tu?
Halafu Mbowe kasema akaunti zake zimefungwa unasema Muongo,Sasa thibitisha kibenki Kama Muongo.
Nitajie akaunti namba hata moja tu ya Mbowe.
Mbowe kasema katumiwa Deni la Kodi kwa e mail wewe unasema muongo,Sasa onesha ukweli wako.
Hakimu Mavimavi tu.
Kama Mbowe na Akina Lema walifungwa kwa sababu za kijinga kabisa,
Kama Lisu alipigwa risasi na akanyimwa stahiki zake,
Kwa Nini tusiamini maelezo ya Mbowe?
Samia mwenyewe kasema Ni kweli task force walikua wanachukua fedha kwenye akaunti za watu Leo were Hakimu majalala unabisha.
Samia kasema Ni kweli wafanyabiashara wanahamisha biashara halafu wewe Hakimu takataka unabisha.
Nyie ndio mlikua mnamdanganya huyo kichwa nundu wenu Hadi kafa kwa mshituko.