Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Zilikuwa kwenye akaunti ya hukohuko Dubai, uliza swali jingine. Mbowe sio mwenzio ile ni level nyingine
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Nasikikika kukwambia kuwa JIWE ameshafariki ,na Bashite mume wako anauza samaki
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Kama ni cash je au alijiongeza akafungua kwa jina lingine?
 
Kifupi sana,
Mbowe ni Mfanyabiashara zaidi ya miaka 30, anakwenda nje na kurudi. Unategemea mtu kama huyo asiwe na biashara nje? Fungua ubongo hata kidogo.
Mataga atafunguaje ubongo? Umezikwa Chato ubongo wake
 
Mbona hajasema alitakiwa kulipa kiasi gani na ni malimbikizo ya miaka mingapi akijumlisha na faini zake!!

Asilielie ka mtoto,. Malalamiko yake yaende sambamba na uhalisia kudaiwa madeni yake halisi, ni bei gani alitakiwa kulipa TRA?
 
Hii ni wazi kuwa huyu mtu yupo kimaslahi zaidi, na hayupo kwa ajili ya wananchi. Anatumia siasa kutakatisha mambo yake yakae sawa. Yupo kwa ajili ya kuweka biashara zake sawa.Mtaji wake mkubwa ni wafuasi wa Chadema wasio na uwezo mkubwa wa kupambanua mamboView attachment 1749432
Huu hapa Wewe unauona ni uwezo mkubwa wa kupambanua mambo?! Unajiona Una akili kubwa sana?!
 
Sikiliza maelezo yake mwenyewe anasema baada ya kufungiwa ndio akaamua kwenda Dubai kuanzisha biashara, hakusema kama alikua na biashara huko.
Wewe kilaza unaejiita Hakimu Mfawidhi.
Wewe Ni Hakimu wa wachawi mnahukumu watu wema "Nani afe leo".

Wapi Mbowe amataja ameenda Dubai kutafuta biashara nyingine?

Mbowe kasema kaenda NJE.
Kwa ukilaza wako nje Ni Dubai tu?

Halafu Mbowe kasema akaunti zake zimefungwa unasema Muongo,Sasa thibitisha kibenki Kama Muongo.

Nitajie akaunti namba hata moja tu ya Mbowe.

Mbowe kasema katumiwa Deni la Kodi kwa e mail wewe unasema muongo,Sasa onesha ukweli wako.

Hakimu Mavimavi tu.

Kama Mbowe na Akina Lema walifungwa kwa sababu za kijinga kabisa,

Kama Lisu alipigwa risasi na akanyimwa stahiki zake,

Kwa Nini tusiamini maelezo ya Mbowe?

Samia mwenyewe kasema Ni kweli task force walikua wanachukua fedha kwenye akaunti za watu Leo were Hakimu majalala unabisha.

Samia kasema Ni kweli wafanyabiashara wanahamisha biashara halafu wewe Hakimu takataka unabisha.

Nyie ndio mlikua mnamdanganya huyo kichwa nundu wenu Hadi kafa kwa mshituko.
 
Mbona hajasema alitakiwa kulipa kiasi gani na ni malimbikizo ya miaka mingapi akijumlisha na faini zake!!

Asilielie ka mtoto,. Malalamiko yake yaende sambamba na uhalisia kudaiwa madeni yake halisi, ni bei gani alitakiwa kulipa TRA?
Tumeambiwa 2 b kwa mwaka tofaut na thamani ya mtaji mbona wafanyabiashara wengi tuu walikimbia na Mama Samia kamwagiza mwigulu ilo likome
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Hawa wafanyabiashara wakubwa wana account zingine nchi za nje kama Switzerland n.k,
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Unafikiri mbowe masikini kama wazazi wako uko usukumani
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Acha ufalla basi?
Anaweza kukopa, anaweza kuuza mali zake pia.
Mbowe kwao wana ukwasi
 
Ningeyajua mapema haya mambo. Wala nisingemlilia ile siku ya kuaga mwili wa katili. Natamani kudai fidia ya machozi yangu yaliyotoka isivyostahiki.
😅😅😅😅😅fungua kesi mkuu utalipwa
 
Back
Top Bottom