nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,124
- 1,839
TUNAWAFAHAMU, UNAFIKIRI SERIKALI HAIKUFANYA UTAFITI KUHUSU FAIDA NA ATHARI ZINAZOWEZA KULETWA NA HIZO FREM?Ameongea kitu cha kweli kabisa....
Hivi unajua hapo Frem zilipohengwa vikwazo vimeondolewa ndo zikawekwa hizo frem
Muda wa kupambana na Rwanda sisi tunautoa wapi? Hiyo kazi tutawaachia ndugu zetu "Waha" wa Kigoma.Kama tu Akili za Kujenga vyema hizo Fremu ( mpaka zingine zimepinda, zingine fupi na zingine zimeshaweka Ufa ) wamekosa je, unadhani Akili za Kupambana na Majeshi HATARI na Mahiri kwa sasa Afrika Mashariki kama ya Rwanda na Uganda watakuwa nayo na wataweza?
Ulifanya uamuzi wa busara sana, kuna mdau alichukua mkopo akajenga kituo cha mafuta pale Gongo la Mboto jeshini, alikubali mchongo kama wako huo, wajeda wakamchenjia akapigwa pini na benki wanamdai wakati kituo kimefungwa, ni noma sana aisee!!Kuna mtu aliwahi ni introduce kwenye huo mchongo! Ilikuwa ni lazma utafte mwanajeshi mmoja uingie nae mkataba wa ujenzi ujenge fremu zako ila zinakuwa chini yake kimkataba kisha utafanyia biashara kibingwa. Nilichomoaga hio nikaona ufala
Tulia uliza upewe maelekezo Jeshi halijawahi kukoseaNiliposikia tu sababu ya kupelekea Ujenzi huo jinsi ilivyo ya Kipuuzi ( kutokana na Unyeti wa hiyo Kambi ) kwa Tanzania nzima ni kwamba nchi yetu sasa iko Uchi kabisa kwa Maadui na ipo Siku Tanzania itakuwa Mali ya Taifa lingine.
Hatuwezi kamwe kupigana na Dada zetu wa Rwanda na Uganda tunaheshiamna sana ndio maana wanakuja kwenyw mafunzo pale TMA .Kama tu Akili za Kujenga vyema hizo Fremu ( mpaka zingine zimepinda, zingine fupi na zingine zimeshaweka Ufa ) wamekosa je, unadhani Akili za Kupambana na Majeshi HATARI na Mahiri kwa sasa Afrika Mashariki kama ya Rwanda na Uganda watakuwa nayo na wataweza?
Kifupi ni mradi ulioanzishwa kwa kukurupuka bila kufuata misingi ya 'Project Management' na hakukufanyika 'feasibility study', 'risk management' wala 'Social Impact Assessment'.Niliposikia tu sababu ya kupelekea Ujenzi huo jinsi ilivyo ya Kipuuzi ( kutokana na Unyeti wa hiyo Kambi ) kwa Tanzania nzima ni kwamba nchi yetu sasa iko Uchi kabisa kwa Maadui na ipo Siku Tanzania itakuwa Mali ya Taifa lingine.
Mkuu hakuna neno unaloweza sema zaidi ya hapo. Majeshi yetu yameiingiliwa na kitu gani sijui.Niliposikia tu sababu ya kupelekea Ujenzi huo jinsi ilivyo ya Kipuuzi ( kutokana na Unyeti wa hiyo Kambi ) kwa Tanzania nzima ni kwamba nchi yetu sasa iko Uchi kabisa kwa Maadui na ipo Siku Tanzania itakuwa Mali ya Taifa lingine.
Hayo uliyoweka kwenye mabano kwa kiingereza, kiuhalisia ni kinyume chake! Majeshi ya kuua na kutia vilema wananchi wake wenyewe, hasa ccm inapolazimisha kushinda uchaguzi!Time change,majeshi duniani ni ya kisasa mno, kujenga frem outskirts hakuna tabu yoyote alikradi tu ni akina nani watapangishwa ( we have friendly army but dangerous to nation enemy)
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Mbuta.Huwa tunarekodi videos tukiwa kwenye mabasi tukisafiri huku bus linatembea. Kweli mmeshindwa?
Inauma sanaaJeshi linajiaibisha kwa ujenzi wa hivyo vifrem. Hadhi yabile kambi itaenda kuporomoka kwa tamaa ya kodi za frem
Na huku bagamoyo road itakuwajeNa kituo kile cha daladala pale Tanganyika pekasi kitahamia hapo penye fremu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We mdada unajihisi unajua sana kuliko wengine humuHauko 'Security Conscious' hivyo huna unachokijua na tafafhali acha Kunipotezea muda ila kuna Siku Tanzania ikivamiwa kirahisi na Watanzania kuwa Mali ya Nchi nyingine ndiyo mtatuelewa Wenye Akili Kubwa, Maono na Machale ya Kutukuka.
Karibusana[emoji55]
Utabeba vitu vyako kwa speed tunayoitaja sisiKwa raia yoyote... Ole wako ucheleweshe kodi...
Dah kweli mzee yani ilikuwa kipindi cha maana sema nilikaza tu for sure!Ulifanya uamuzi wa busara sana, kuna mdau alichukua mkopo akajenga kituo cha mafuta pale Gongo la Mboto jeshini, alikubali mchongo kama wako huo, wajeda wakamchenjia akapigwa pini na benki wanamdai wakati kituo kimefungwa, ni noma sana aisee!!
Jamaa alibugi stepu sana.