t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Compressor inaweza kuwa imefeli, sina nia ya kupigia debe kampuni ila fridge za lg na samsung zenye linear compressors hazina matatizo hayo. Nyingi pia huna haja ya kutumia fridge guard.Nina fridges mbili zinatatizo Kama lako....nilileta fundi akaniambia tununue kifaa elfu 30k moja ikatulia, baadae likarudia tatizo.
Baadae nikapata mafundi wengine wakaomba 50k zikakaa sawa, ndani ya siku kadhaa, matatizo yakawa mengi. Fridge moja ni mtumba lingnie nilichana mwenye kwa boz brand Boss.....
Mtoa mada, tatizo lako ni kama langu, labda utafute mafundi wazoefu wanaweza kukusaidia....