Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
lita 143? Anyway hayakuhusu hata liwe lita 1Nawee ni mtumiaji wa Hisense ?.
Unakuta ni kale kadogooooo hata Dumu la maji ya uhai la Lita sita, haliingiii🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lita 143? Anyway hayakuhusu hata liwe lita 1Nawee ni mtumiaji wa Hisense ?.
Unakuta ni kale kadogooooo hata Dumu la maji ya uhai la Lita sita, haliingiii🤣🤣🤣
We na Carlos Leo mnanivunja mbavu tu🤣🤣🤣lita 143? Anyway hayakuhusu hata liwe lita 1
HeheeeWeeee langu Mimi?. Hahaha hili nilivyolijaza , utaanzaje kutoka Nje kuzurula Kwa mfano?.
Hapa ukiingia Leo kwangu, utajikuta Unaacha chupi, kesho Gauni, kesho yake unakuja na Begi kabisa🤣🤣
Carlos amezoea vitoto vya shuleHeheee
Huyo mtoto mkorofi sana 😂😂😂We na Carlos Leo mnanivunja mbavu tu🤣🤣🤣
Mamaaa kulaaa ,yaan ukipata Hela kulaaa misosi ..Kifo chajaa🤣🤣🤣We na Carlos Leo mnanivunja mbavu tu🤣🤣🤣
Sio unajengaa majumbaa tuuu alafu UNAKUFA unayaacha🤣🤣We na Carlos Leo mnanivunja mbavu tu🤣🤣🤣
Alaaaaa chezea CarlosHeheee
Embuuu niachee Huku hapa nawaza kula mbususu tuu baadaeHuyo mtoto mkorofi sana 😂😂😂
mbwa mwenyewe kwanza 🤣Weeee kitu la Hisense Inch 63 , linaanzia Mliman City mpaka Charambe 🤣🤣
View attachment 2540575
Unajaziwa frijiiii , alafu na LiTV hiloo ...
Nangoja niongezee na DSTV Mbwa Nyinyi , mtanikomaa 🤣🤣🤣
Ushetani tu umekujaaEmbuuu niachee Huku hapa nawaza kula mbususu tuu baadae
😂😂😂😂Sio unajengaa majumbaa tuuu alafu UNAKUFA unayaacha🤣🤣
Nikifikiria friji langu hapa lilivyojaa maji tu, 🤣🤣🤣🤣🤣Mamaaa kulaaa ,yaan ukipata Hela kulaaa misosi ..Kifo chajaa🤣🤣🤣
Hahahaha Mbwaa kweli weeee , hiyo nimepigaa nikascreen ,kuiedit kidogooo ,vionekane vilivyokusudiwa.mbwa mwenyewe kwanza 🤣
Af mbona picha ni screenshot? Umeiba wapi??
Na mdundo wako wa Alitop
Mchina toleo la mwisno 😂😂😂
😂😂😂 umejaza maji na juice ya machungwaNikifikiria friji langu hapa lilivyojaa maji tu, 🤣🤣🤣🤣🤣
Yaan hiii mechi ilikua ipigwe saa nne Asubuh, nmeisogeza mpaka saa kumi 🤣🤣🤣Ushetani tu umekujaa
Na jua kali lote hili
Nyieeeeee hali ngumu 🤣🤣🤣🤣 huku Luku nayo inakupigia alarm tuuuu tuuuuuu tuuuuu tuuuuuuuNikifikiria friji langu hapa lilivyojaa maji tu, 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣 Akijitahidi sana kajaza Maharage, alochemsha juzi kilo mbili nzima kajaza 🤣🤣😂😂😂 umejaza maji na juice ya machungwa
😂😂😂 nna alej na magariHahahaha Mbwaa kweli weeee , hiyo nimepigaa nikascreen ,kuiedit kidogooo ,vionekane vilivyokusudiwa.
Unadhan mie kama wee wa kuazima na kupiga picha kwenye magari ya watu alafu unatamba ,🤣🤣🤣
Jamaniiiii 😂😂😂🤣🤣 Akijitahidi sana kajaza Maharage, alochemsha juzi kilo mbili nzima kajaza 🤣🤣