Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Nitake radhiiiii .....kwamba 🤣🤣🤣Anafunikia deki yake ya kuangalia mimuvi iliyotafsiriwa
Wee nyau kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitake radhiiiii .....kwamba 🤣🤣🤣Anafunikia deki yake ya kuangalia mimuvi iliyotafsiriwa
😂😂😂 sasa kile kitambaa pale cha nini? Tena cha pinkNitake radhiiiii .....kwamba 🤣🤣🤣
Wee nyau kweli
Na hapo amewasha friji mpaka yakagandaa na kutengeza barafu, Kisha Friji likazimwa.Na mabamia🤣🤣🤣🤣
Mnatoboa siri za majumbani kwenu 😂Na hapo amewasha friji mpaka yakagandaa na kutengeza barafu, Kisha Friji likazimwa.
Lukuuu lukuuuu tunaokoa uniti
Hahahahah Boss wangu (Mama watoto) ndo anafanya yake hapo 🤣🤣🤣😂😂😂 sasa kile kitambaa pale cha nini? Tena cha pink
🤣🤣🤣🤣🤣KwendraaaaaaMnatoboa siri za majumbani kwenu 😂
Gesi inaishaFriji langu aina ya Boss linawaka na kuzima. Ukiwasha linafanya kazi kwa dakika takribani mbili Kisha linazima kwa dakika kadhaa, halafu linajiwasha tena. Hivyo ndugu zangu waliowahi kukutana na changamoto hii naombeni msaada tafadhali?
Ni uache ushambaa ni mafriji yote yapo hivyoo mi nikadhani gesi limeishaFriji langu aina ya Boss linawaka na kuzima. Ukiwasha linafanya kazi kwa dakika takribani mbili Kisha linazima kwa dakika kadhaa, halafu linajiwasha tena. Hivyo ndugu zangu waliowahi kukutana na changamoto hii naombeni msaada tafadhali?
Mimi nilinunua friji ya Boss kwa 600000Tsh hadi sasa imepita miaka 10 bado linadunda na linang'aa kama bado mpya.Ukipiga hesabu vizuri , ni bora kununua ghali
Wakati nanunua 2013 nilinunua lg kwa 1.1 mil, brand nyingine zilikuwa kwenye 600000, huu unaenda mwaka wa 10 haijawahi sumbua chochote, na ninzile non frost, mwaka 2016 nikanunua deepfreezer ya kichina, halikuakaa miaka 4 , written off
BiligatiUnamaanisha nini?
Mimi nilinunua friji ya Boss kwa 600000Tsh hadi sasa imepita miaka 10 bado linadunda na linang'aa kama bado mpya.
Muda mwingine ni matunzo tu husaidia pia na bahati.
MIaka 10 boss brand ndio ioikuwa inaingia sokoni, kuna uwezekano ulipata yale ya mwanzo mwanzoMimi nilinunua friji ya Boss kwa 600000Tsh hadi sasa imepita miaka 10 bado linadunda na linang'aa kama bado mpya.
Muda mwingine ni matunzo tu husaidia pia na bahati.
Mwenyewe fridge guard iliwah nisumbua sana, sema s salama kutumia bila fridge guard.Unatumisa fridge guard? Kama ndio jaribu kuitoa huwa zinazingua nilikuwa na tatizo kama hilo nikabadilisha fridge guard kesi ikaisha.
Jaribu kuwasha bila fiji guard
Unajaribu kuwasha bila FG sijakuambia uache kabisa kutumia. Mimi NIMEACHA nina mwaka, huku nilipo umeme haukatiki mara kwa mara. Kama una nguvu nunua STABILIZER achana na FG zina ulinzi mdogoMwenyewe fridge guard iliwah nisumbua sana, sema s salama kutumia bila fridge guard.
Inategemea na wewe mwenyewe kama unataka kugandisha unaweka juu kabisa nyingine pameandikwa Cold,kama ubaridi wa kawaida Medium halafu mwisho ubaridi kidogo hapa itajizima mara kwa mara thermostat ikiwa ipo vizuriKiuhalisia kinatakiwa kirange kwenye namba ngapi?
Ahsante mkuu roughly hyo stablizer inacost kiasi gani?Unajaribu kuwasha bila FG sijakuambia uache kabisa kutumia. Mimi NIMEACHA nina mwaka, huku nilipo umeme haukatiki mara kwa mara. Kama una nguvu nunua STABILIZER achana na FG zina ulinzi mdogo
Inategemeana na aina/brand na Watts zake 180k, 200k, 250k 300k+ nakuendelea, ukipata TRONIC naona watu wanaisifiaAhsante mkuu roughly hyo stablizer inacost kiasi gani?
Ukichukua la watts kubwa unaunganisha na TV, Redio NkAhsante mkuu roughly hyo stablizer inacost kiasi gani?