Friji yangu inawaka na kuzima, tatizo litakuwa nini?

Friji yangu inawaka na kuzima, tatizo litakuwa nini?

Time range ilinipa shaka, awali haikuwa hivyo. Nimeamua kulizima kabisa nitaliwasha baada ya ubaridi kuisha nione shida ni nini? Nimechukuwa maamuzi haya baada ya kusoma comments kadhaa
Hapo kwenye thermostat kuna range 3 labda umeweka ya baridi kidogo weka medium uone
 
😂😂😂 nna alej na magari
Sasa naaanzia wapi kuyapanda mpk nipige na picha.

Na kwanini uedit? Ulishindwaje kupiga moja kwa moja kilichokusudiwa?
Hiyo simu yako ina shida gani? 😂😂
Hahahaha kwendraaa
 
😂😂😂 umejaza maji na juice ya machungwa
Acha tu🤣🤣🤣 basi Kuna siku akaja shoga angu, akanambia shoga nifungue friji, nikamwambia fungua🤣 Kuna siku tupo kibaruani akaropoka Kuna watu wana mafriji na juisi hawanywi.....nilichokaa🤣🤣🤣
 
Acha tu🤣🤣🤣 basi Kuna siku akaja shoga angu, akanambia shoga nifungue friji, nikamwambia fungua🤣 Kuna siku tupo kibaruani akaropoka Kuna watu wana mafriji na juisi hawanywi.....nilichokaa🤣🤣🤣
😂😂😂😂 hata ye akiwa nalo anaweza kusahau kutengeneza
Na akaishia kujaza viporo
 
Kwa wastani wa dk mbili Hilo ni tatizo. Ingekuwa dk 15/30 ingekuwa sawa. Hapo km sio tatizo la friji basi ni low voltage ya umeme unaotumia. Jaribu kuliwasha usiku wa manane watu wakiwa wamelala maana muda huo matumizi ya umeme huwa madogo maana watu wanakuwa wamezima vitu vyao. ukikuta tatizo ni Hilo basi nunua stabilizer. Hapo kesi kwisha.
Achana na umeme

Firiji limepata shida ya saikoloji
 
Back
Top Bottom