Friji yangu inawaka na kuzima, tatizo litakuwa nini?

Ana bahati amekuja kuuliza JF,angeenda kwa mafundi moja kwa moja wangemla pesa ya bure.
 
Friji langu aina ya Boss linawaka na kuzima. Ukiwasha linafanya kazi kwa dakika takribani mbili Kisha linazima kwa dakika kadhaa, halafu linajiwasha tena. Hivyo ndugu zangu waliowahi kukutana na changamoto hii naombeni msaada tafadhali?
Gesi inaisha
 
Ni uache ushambaa ni mafriji yote yapo hivyoo mi nikadhani gesi limeisha
 
Mimi nilinunua friji ya Boss kwa 600000Tsh hadi sasa imepita miaka 10 bado linadunda na linang'aa kama bado mpya.
Muda mwingine ni matunzo tu husaidia pia na bahati.
 
Mimi nilinunua friji ya Boss kwa 600000Tsh hadi sasa imepita miaka 10 bado linadunda na linang'aa kama bado mpya.
Muda mwingine ni matunzo tu husaidia pia na bahati.
MIaka 10 boss brand ndio ioikuwa inaingia sokoni, kuna uwezekano ulipata yale ya mwanzo mwanzo
 
Unatumisa fridge guard? Kama ndio jaribu kuitoa huwa zinazingua nilikuwa na tatizo kama hilo nikabadilisha fridge guard kesi ikaisha.

Jaribu kuwasha bila fiji guard
Mwenyewe fridge guard iliwah nisumbua sana, sema s salama kutumia bila fridge guard.
 
Mwenyewe fridge guard iliwah nisumbua sana, sema s salama kutumia bila fridge guard.
Unajaribu kuwasha bila FG sijakuambia uache kabisa kutumia. Mimi NIMEACHA nina mwaka, huku nilipo umeme haukatiki mara kwa mara. Kama una nguvu nunua STABILIZER achana na FG zina ulinzi mdogo
 
Kiuhalisia kinatakiwa kirange kwenye namba ngapi?
Inategemea na wewe mwenyewe kama unataka kugandisha unaweka juu kabisa nyingine pameandikwa Cold,kama ubaridi wa kawaida Medium halafu mwisho ubaridi kidogo hapa itajizima mara kwa mara thermostat ikiwa ipo vizuri
 
Unajaribu kuwasha bila FG sijakuambia uache kabisa kutumia. Mimi NIMEACHA nina mwaka, huku nilipo umeme haukatiki mara kwa mara. Kama una nguvu nunua STABILIZER achana na FG zina ulinzi mdogo
Ahsante mkuu roughly hyo stablizer inacost kiasi gani?
 
Attachments

  • Screenshot_20230307-173455_Chrome.jpg
    237.2 KB · Views: 20
  • Screenshot_20230307-173430_Chrome.jpg
    189.2 KB · Views: 21
  • Screenshot_20230307-173307_Chrome.jpg
    189.7 KB · Views: 20
  • Screenshot_20230307-173350_Chrome.jpg
    186.1 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…