City tena?Haijalishi Man City imenunuliwa na mwarabu au muingereza ... cha muhimu kwa mashabiki ni timu kufanya vizuri
Dah ,kawakosa kosa ,angepata Ile waarabu wasingekaa mwamsahauKama Yanga tuna majini basi jini lenyewe ni Pacome.
Sio mchezo.
Tushazoea mkuu SUKARI+UMEME=CCMDuh poleni sana
Mfano tu..City tena?
Nilisimama kabisa, nakosa maneno ya kuelezea vizuri.Pacome ni hatari ile movement angebahatika kufunga lingekuwa goli bora sana
Bampa to bampaa πππͺπͺπͺπͺπͺVipi utopolo hajafungwa?
AtufungwiMsione pametulia humu bali Makolo kindaki ndaki yapo mafichoni yanasubiri Yanga apigwe waje kukinukisha humu..