FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Kaburu hana kitu kwenye usajili na Mo pia anahusika
Lakred na miqueson amewaleta yeye
Mastermind wa sajili za simba miaka 3 iliopita alikuw marehem hanspope alikuwa anajua simba iansajili nini na mapungufu gani hawa waliobaki pamoja na Mudi mwenyewe wapigaji tu
 
Msione pametulia humu bali Makolo kindaki ndaki yapo mafichoni yanasubiri Yanga apigwe waje kukinukisha humu..
Na kama hawa mashabiki wa timu ya Mwamedi kama Wana akili hata za kuvukia Tu barabara ingawa najuwa hawana, basi Leo wakae kimya, tena kitako Kwa kutulia.

Wakijifanya wao ni Waarabu wakati Yanga tayari imeshafuzu, wasubili mechi yao na Jwaneng ndio watajuwa kama maarage ni mboga au sukuma wiki.
 
Toka nimeone huyu jamaa yenu akijaribu kufunga hapa kwa kupiga hivi nikajua hamna mchezaji hapa.

 
Hizi kwaya za ushangiliaji Yanga wazianzishe ili kuongeza morali za wachezaji. Hii ya watu wanajaa uwanja mzima alafu wanashabikia kiuny0nge na shaghalabaghala haifai, ni matumizi mabovu ya viingilio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…