FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Ukubwa wa timu sio kumfunga fulani au kumsumbua fulani bali kuvuka hatua ya mbele zaidi. Yanga itahesabika ni wakubwa kama itacheza fainali au nusu fainali.
 
Mnasahau ya kwenu hapo kesho, kutwa kucheza ngoma ya Yanga
 
Kumbuka wakati taifa liko kwenye msiba Horoya alikufa 7-0, subiri uone kesho wakati taifa limetoka kumzika Rais Mstaafu
Kama historia inafanya kazi basi pia mkumbuke galaxy aliwakanda hapo taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…