FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

Bado sio sababu yenye mashiko, kocha na wachezaji wakitegemea ushindi wewe ukajua vipi hawatashinda?
Mpira wa miguu sio lamli. Ni mchezo wa wazi. Ubora wa kikosi unaamua matokeo.

Yanga angeshinda leo ingekua big deal Afrika. Ameshinda aliyestahili kwa uwekezaji na ubora wa kikosi.

Ukitaka kuamini hili angalia kikosi kilichoanza. Waliingia waliosajiliwa dirisha dogo. Unajua sababu? Issue ni kuwa pale mbele hatuna timu
 
Unalazimisha kuficha maumivu ya kufungwa sisi tuliambiwa yanga ni Barcelona basiii ,hayo mengine ni ya kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…