The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Usiofu bodi ya ligi itawasaidia.Wana5imba wenzangu tukishindwa kushinda hii mechi itakuwa aibu sana, madogo wamegeukia Kibla tayari
Hivyo tutakomboa. Si ndio? πPumzika imekata kwa waarabπ€£
Wabovu waliishia makundi sasa wanakimbizana na vitimu vya mchangani kuwania mbuzi cupMichezaji ya simba ni mibovu kubabake, sijui wanataka wafunge goli gani
Ndio wapi huko?uraya
Wamezidiwa magoli mpaka possesionMpaka sasa mmewacontain..
Ongezeni juhudi. Mmejitahidi.
Iko wazi, umeonaje mbungi lakini?Hivyo tutakomboa. Si ndio? π
Aiseeeee jamaa hadi kufuta comment yake ya uraya. ππNdio wapi huko?
Mnajitahidi kiasi.Iko wazi, umeonaje mbungi lakini?
Acha uongo. Hakijaanza ndio wanaingia uwanjani.Kipindi cha pili sasa