kwa nkapa sasa tuone. Mje mchukue notsi za mechi ya yanga dhidi ya MC ALGER namna tulivyo pindua meza
 
Tukutanee mwakaniii, huu ni ujinga wa karne.
Yaan simba aliye iroga atafutwe, robo 5 unaishia hapo hapo. ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข
 
Any updates pulllliiiiiiiiiiiiiiizz!!!๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช


Daima pamoja na wenyejiiiiiiiiiii ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ


Cc Smart911
Una bao mbili nakugonga plus moja la zaida...
 
Viongozi wa simba acheni ungese toeni timu uwanjani hizi hujuma
 
Wakija taifa hapo wanakuja na magodoro, mablanketi pamoja na mito,mwendo wa kujiangusha na kulala.
 
Goal La pili...

Al Masry 2 SIMBA 0

Kesi ishakuwa ngumu huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwakarobo FC [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hulka ya waarabu wakija kwako na goli mbili mkononi ujue kabisa kazi unayo

Bora waje kwako wanatafuta ushindi watafunguka na hawatapooza mchezo na kupoteza muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ