permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Mna uhakika Simba ataingiza timu uwanjani? tunawatakia Al Masry ushindi wa kishindo.Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku
ποΈ New Suez Stadium
View attachment 3290600
Kaa karibu kwa Live updates
Mchezaji nywele tu zimemzidi, atamudu mpira?Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku
ποΈ New Suez Stadium
View attachment 3290600
Kaa karibu kwa Live updates
Unateseka ukiwa wapi mwana πΈπΈ?Hii mechi kama ndondo tu watu akili zote ni mechi ya Yanga na Tabora
Bange haijawahi kabisa kuwa salama Kwa afya ya akiliHii mechi kama ndondo tu watu akili zote ni mechi ya Yanga na Tabora
Ikijirudia ya yanga kugongwa mpaka sasa yuko mchangani... itakua poa sana mkuuπ£οΈ Khamsa khamsa!! Wabillah Tawfiq!!
Hakika hii kitu ikijirudia, itakuwa poa sana.
Wanawatambia Taboraπ€π€π€π¦π¦π¦ hivi uto zile jezi zenu za kimataifa mnazifanyia nini?
Mbavu zangu wajameni ππππππ€£Wanawatambia Taboraπ€π€π€
Kila la heri wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuwano ya kimataifa ya soka katika ngazi ya vilabu. Tumeshachoka na hizi robo fainali.Kila la heri kwa Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports!!
Naamini leo nikiwa hapa Mpumalanga nitafurahi sana kwa ushindi mnono au walau sare yoyote!! Maana kwa Mkapa hatoki mtuπ¦View attachment 3290640
Jana kaka yao Ahyl na Pyramid wameshinda mechi zao.Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku
ποΈ New Suez Stadium
View attachment 3290600
Kaa karibu kwa Live updates
Hakuna timu ya ajabu, zote ni zakawaida. Ukiotewa unakula nyingi.Nimeona Simba akishinda ana odds 5
maana yake hapewi nafasi kabisa ya ushindi.
Mjitahidi mjikaze mpate droo, Al Masry ni wa kawaida sana ila bidii na nidhamu pia inahitajika.