FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025
Mimi ni Simba mwenzio ni kweli tumefungwa wala sijakasirika...

Sasa wewe mwaniwane makasiriko ya nini?

Nijuavyo mimi demu mwenye makasiriko na matukano huwa anashida ya kumiss djusharere yaani amelikosa dusherere kwa muda mrefu.....

Nimetumia hekima nikutafutie mtu wa kukuondolea upwiru hasira zako zikate faster...

Naomba upokee simu
Nimeamua kukuheshimu pia,
 
Kwa hawa kina Ahoua, Ateba na Ngoma, mpewe tu pwenti tatu zenu za mezani tukutane mwakani. Mambo yasiwe mengi.
Tukiweka ushabiki pembeni na kuongea kimchezo; leo simba hamkustahili kufungwa na wale Al Masry! Kwa sababu mliwazidi kila kitu.
Isipokuwa kukosekana kwa utulivu pale mbele, ndiyo sababu kubwa iliyosababisha kushindwa kuondoka na ushindi, na badala yake nyinyi ndiyo mkaishia kufungwa na ile timu ya kawaida kabisa.

Kwa Mkapa nina uhakika mtapindua meza. Ila tu mhakikishe Ateba haanzi! Lakini pia Mpanzu apunguze kukimbia kimbia hovyo! Viungo wenu nao wachangamshe mchezo! They are too slow!!
 
Kama mnavyo ona wadogo zetu inabidi mje kchukua MATIRIO namna ya kuvuka hapo
images (21).jpeg
 
Belouzdad hawatasahau hiyo siku
 
Tukiweka ushabiki pembeni na kuongea kimchezo; leo simba hamkustahili kufungwa na wale Al Masry! Kwa sababu mliwazidi kila kitu.
Isipokuwa kukosekana kwa utulivu pale mbele, ndiyo sababu kubwa iliyosababisha kushindwa kuondoka na ushindi, na badala yake nyinyi ndiyo mkaishia kufungwa na ile timu ya kawaida kabisa.

Kwa Mkapa nina uhakika mtapindua meza. Ila tu mhakikishe Ateba haanzi! Lakini pia Mpanzu apunguze kukimbia kimbia hovyo! Viungo wenu nao wachangamshe mchezo! They are too slow!!
Kibu baadala ya kutoa pasi anapiga chenga 4 halafu anasubiri kuangushwa
 
Yaan hadi imekata stimu kabisa, sioni hata tukishinda mbele ya utopolo, kwa uchezaji huu? Nzengeli atapata hat trick,

Simba ni gharasa la karne. Poor us
Ulale sasa. Kama huna usingizi niruhusu nikupeti peti.
 
Huwa nafurahi sana nikiona makolo wakiteseka, ukweli ni kwamba mna timu mbovu sana, ijapokua mmefanyiwa uhuni wa kunyimwa penati ya wazi kabisa.
Hakuna penati pale, replay inaonesha Ateba alikuwa kwenye eneo la kuotea
 
Tukiweka ushabiki pembeni na kuongea kimchezo; leo simba hamkustahili kufungwa na wale Al Masry! Kwa sababu mliwazidi kila kitu.
Isipokuwa kukosekana kwa utulivu pale mbele, ndiyo sababu kubwa iliyosababisha kushindwa kuondoka na ushindi, na badala yake nyinyi ndiyo mkaishia kufungwa na ile timu ya kawaida kabisa.

Kwa Mkapa nina uhakika mtapindua meza. Ila tu mhakikishe Ateba haanzi! Lakini pia Mpanzu apunguze kukimbia kimbia hovyo! Viungo wenu nao wachangamshe mchezo! They are too slow!!
Dakika 15 za kuanza kipindi cha pili tungeweza kuwapiga hata goli 2 maana walikuwa kama wameshatepeta ila ndiyo kwanza na sisi tukawa hatujui tufanye nini. Baada ya dakika 15 zile kuisha nikakata tamaa na nikasema tutapigwa goli la pili dakika za mwisho.

Mlima ni mrefu sana. Mahusiano ya uwanjani ya Hamza na Chamou hayajatulia sana na Camara anacheza akiwa bado hayuko sawa. Katika mazingira hayo, mechi ya marudiano wale wana uwezekano mkubwa wa kupata goli. Siioni Simba ya Ahoua na Ateba ikiwafunga wale goli 4.

Kama unavyosema timu inacheza slow saana. Mpanzu anajaribu kukimbia ili kuiongezea timu speed ila kakutana na wenzake wabovu wasio na uwezo wala kujua jinsi ya kucheza naye. Ukitaka kuona Simba hii haiwezi kufaidika na uwepo wa Mpanzu, angalia game na Fountain Gate ile ya 1-1. Mpanzu alikuwa anafanya kila kitu ila wenzake wanamuangusha.
 
Simba kapiga mpira mpaka waarabu wakalata tamaa wakati wanaongoza goli 1.Like walikuwa wanawaza kama kwetu ni hivi itakuwaje huko kwao? Wamekuja pata nguvu baada ya goli la pili.
Ila mcheza kwao leo imeonekana,simba kanyimwa penalt 2 za wazi.
Simba jipangeni
 
Back
Top Bottom