DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Achana na mimiSamahani wakubwa magoli kafunga nani? Jini chal haua, Mukwala au Mpanzi. Huku umeme umekata halafu nasikia 2 bila.
Achana na mimiSamahani wakubwa magoli kafunga nani? Jini chal haua, Mukwala au Mpanzi. Huku umeme umekata halafu nasikia 2 bila.
Na mbna hao walio sajiri watu wa kazi walifurushwa mashindanoni, tena wakiwa kwao?Tukiwambia acheni propaganda za kiswahili tengeneza timu mnatuona maadui
Mnapewa penalties 4 mechi ya Namungo mnaona kawaida, huko juu penalty haitoki ovyo
Makelele Kwa GSM eti anaharibu ligi
Huwezi kuwa bingwa mchezaji akiwa Okajepha, Debora, Ahoua, Ateba na Kibu
Tengeneza timu, sajili watu wa kazi
Tofautisha ugumu wa CAFCL na shirikishoNa mbna hao walio sajiri watu wa kazi walifurushwa mashindanoni, tena wakiwa kwao?
Km una hoja ya msingi njoo nayo, ila hii ni mashudu, na haiko ktk mlengo nilio uzungumzia mie.
Haya ishi humo.Tofautisha ugumu wa CAFCL na shirikisho
Yanga ilitolewa Kwa kuwa management ilizubaa ikiwapa wachezaji uhuru, mashindano yanaanza wachezaji wakawa hawana fitness.
Ila Yanga timu ipo usilinganishe na Simba, ukibisha ni kiburi chako tu
SawaaaaHaya ishi humo.
Nishapoa kiasi chake, nimezoea pia.Sawaaaa
Futa machozi mrembo wangu
Mpira unahitaji roho ngumu
Tusharudisha garama zake inatosha 😂🦁🦁🦁 hivi uto zile jezi zenu za kimataifa mnazifanyia
Na Azam fcklabu bingwa ya wababe ndio maana Wametolewa pia wakubwa wenzetu kina Raja Casablanca, kina TP mazembe
Mlifikiri na kule ni bongo mnajiangusha tu kama magunia ya mchele..🤣Ifike hatua tuelezane ukweli, tuachane na dhana ya kupata penalty, ktk hatua km hii hakuna penalty holela, tucheze na kufunga mabao ya kawaida.
Ndo maana wachezaji wanajiangusha hovyo eneo la box kutegemea refa atapiga filimbi, mwisho wa siku ina tu cost km hiv.
Kibu anafika ndani ya box anajiangusha kizembe, badala apige shut, dadekii naumia kinomaa aaah
Nipo nawewe mpaka ukome...😂Nishapoa kiasi chake, nimezoea pia.
Akitoka itakua burudani sana aisee sema timu pinzani hakuna timu ila mtani nae tia maji tia maji tu..Mwakarobo kutokea mwakareli
Gharama gani?Tusharudisha garama zake inatosha 😂
Mwakaleli sio Zoo tafadhali.Mwakarobo kutokea mwakareli
Ulisikia wa Lionel Mesi anaachwa nje.?Yeah. Ingawa na wenyewe wana kaupapatupapatu fulani sasa hivi ila ni heri tuwakimbie tu mpaka tutakapoamua kuwa serious.
Yanga wanaona heri wafungwe na Songea Utd ila siyo na Simba, wenzetu wanajua maana ya derby. Sasa wewe unaingia na wachezaji wasiojitambua kina Ateba na Ahoua si kujitaftia balaa tu.
❤️❤️❤️❤️Kibu maifuti🤍🤍🤍🤍💪
Pole saana Eng....Jamani Simba acheni usengee qumamaqe, tunao umia ni sisi mashabiki, hivi kweli haya mnayo yafanya mnaona mazuri? Tunashindwa hata kuwasiliana na watu, hatujui kesho itakuaje huko makazini.
Yaan nilivyo na hasira hapa, kesho mtu aniletee usengee nalala nae mbelee. Maninaaa.