chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,870
Wajifunze kwa Yanga diara kafungwa magoli mangapi ya uzembe ila yanga tumetulia?Simba kwa kutuhumu wachezaji wao kuuza mechi wapo vizuri, kila mechi wakifungwa cha kwanza kumtafutia wa kumuangushia jumba bovu. Kwani Camara sio binadamu kiasi kwamba hafungiki wala hakosei?