FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025
Kwa mara ya kwanza nimeangalia mechi dakika 90 haya maoni yangu, Kwanza tukubaliane AlMasry sio Al Ahly au Zamalek, kibongo bongo Almasry ni kama Coastal union team za kawaida Simba na Yanga level zao Ahly na Zamalek kwa ukubwa. Leo hii ni kama usikie Alhly anacheza na Coastal union lakini tuache hili pembeni.

Simba wamepoteza mechi kwa team ya kawaida kabisa na nafasi wanayo home mechi haijaisha ila tuchukulie jana ile Ishi Manula ndio goalkeeper leo ingekuwa matusi hayana mfano ila kadaka Camara na goal zote mbili ni za Camara, goal keeper mzuri hawezi kuruhusu ujinga ule. Baada ya matukio ya yule keeper wa Kenya kuuza kwa bet company games huyu achunguzwe isije kuwa kashawishi Bet maana sio wa kufungwa goal zile. Sina imani nae uwezo wake mkubwa kuliko ule ujinga.
 
Kwa ufupi,

Camara kauza game kwa bahati mbaya au bet, Almasry Egypt sio team kubwa ni kama kina KMC kwetu tusikuze kama tumecheza na kina Ahly au Zamalek. Simba nyumbani uwezo wa kupindua anao inategemea wataanza vipi game ila wajue wale watakuja kukaa nyuma tu. Simba wakifanya papara wanaweza kuambulia kupiga mashuti tu. Kibu anaweza kuwafaa baadhi ya game lakini kama unatafuta magoal Kibu hawezi kukupa magoal hatulii wala hana maamuzi sahihi mipira ya mwisho. Tusiwakuze Almasry kama ni team kubwa ni team ya kawaida league ya Egypt kikwetukwetu KMC, Coastal sijui Dodoma jiji hivi.
 
Jamani Simba acheni usengee qumamaqe, tunao umia ni sisi mashabiki, hivi kweli haya mnayo yafanya mnaona mazuri? Tunashindwa hata kuwasiliana na watu, hatujui kesho itakuaje huko makazini.

Yaan nilivyo na hasira hapa, kesho mtu aniletee usengee nalala nae mbelee. Maninaaa.
Na bado
 
Kwa ufupi,

Camara kauza game kwa bahati mbaya au bet, Almasry Egypt sio team kubwa ni kama kina KMC kwetu tusikuze kama tumecheza na kina Ahly au Zamalek. Simba nyumbani uwezo wa kupindua anao inategemea wataanza vipi game ila wajue wale watakuja kukaa nyuma tu. Simba wakifanya papara wanaweza kuambulia kupiga mashuti tu. Kibu anaweza kuwafaa baadhi ya game lakini kama unatafuta magoal Kibu hawezi kukupa magoal hatulii wala hana maamuzi sahihi mipira ya mwisho. Tusiwakuze Almasry kama ni team kubwa ni team ya kawaida league ya Egypt kikwetukwetu KMC, Coastal sijui Dodoma jiji hivi.
Simba kwa kutuhumu wachezaji wao kuuza mechi wapo vizuri, kila mechi wakifungwa cha kwanza kumtafutia wa kumuangushia jumba bovu. Kwani Camara sio binadamu kiasi kwamba hafungiki wala hakosei?
 
Pole saana Eng....

Hope Simba watatumia uwanja wanyumbani vema
Hivi una amini Simba atafanya maajabu Lupaso? Kibu na ateba ndo ma 4wadi? Yaan nimechoka kabisa.

Mpira una maajabu yake, ila kwenye hii hatua Simba hana bahati. Tumetoka niamini mie.
 
Simba kwa kutuhumu wachezaji wao kuuza mechi wapo vizuri, kila mechi wakifungwa cha kwanza kumtafutia wa kumuangushia jumba bovu. Kwani Camara sio binadamu kiasi kwamba hafungiki wala hakosei?
Sijasema kauza nimesema Camara kafungisha team huwezi kuwa kipa wa ubora wako kufanya makosa mawili makubwa kosa moja sio mbaya mawili sasa nime link na lile sakata la kipa wa Kenya kuuza kwa Bet.
 
Sijasema kauza nimesema Camara kafungisha team huwezi kuwa kipa wa ubora wako kufanya makosa mawili makubwa kosa moja sio mbaya mawili sasa nime link na lile sakata la kipa wa Kenya kuuza kwa Bet.
Ina maana mimi sioni? Haya ni maeno yako nina kunukuu "Camara kauza game kwa bahati mbaya au bet" halafu unakuja kukataa kuwa hukusema kauza.
 
Back
Top Bottom