FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025
Simba kapiga mpira mpaka waarabu wakalata tamaa wakati wanaongoza goli 1.Like walikuwa wanawaza kama kwetu ni hivi itakuwaje huko kwao? Wamekuja pata nguvu baada ya goli la pili.
Ila mcheza kwao leo imeonekana,simba kanyimwa penalt 2 za wazi.
Simba jipangeni
Ifike hatua tuelezane ukweli, tuachane na dhana ya kupata penalty, ktk hatua km hii hakuna penalty holela, tucheze na kufunga mabao ya kawaida.

Ndo maana wachezaji wanajiangusha hovyo eneo la box kutegemea refa atapiga filimbi, mwisho wa siku ina tu cost km hiv.

Kibu anafika ndani ya box anajiangusha kizembe, badala apige shut, dadekii naumia kinomaa aaah
 
Yaan hadi imekata stimu kabisa, sioni hata tukishinda mbele ya utopolo, kwa uchezaji huu? Nzengeli atapata hat trick,

Simba ni gharasa la karne. Poor us
Yeah. Ingawa na wenyewe wana kaupapatupapatu fulani sasa hivi ila ni heri tuwakimbie tu mpaka tutakapoamua kuwa serious.

Yanga wanaona heri wafungwe na Songea Utd ila siyo na Simba, wenzetu wanajua maana ya derby. Sasa wewe unaingia na wachezaji wasiojitambua kina Ateba na Ahoua si kujitaftia balaa tu.
 
Ateba leo, utadhani sio professional Player, nimechoka kabisa.
 
Siyo leo tu. Sijui wachezaji wapya wa Simba huwa wanapatwa na nini. Mchezaji anakuwa wa moto mechi chache za mwanzo baada ya hapo ni majanga tu au leo yupo kesho haumuoni.
 
Ndio maana walikimbia derby. Kuna mambo unayaona kabla hayajatokea kinachofuata unatafuta mbinu ya kuyakwepa, ila kwa level ya huko walishindwa kukwepa
 
Siyo leo tu. Sijui wachezaji wapya wa Simba huwa wanapatwa na nini. Mchezaji anakuwa wa moto mechi chache za mwanzo baada ya hapo ni majanga tu au leo yupo kesho haumuoni.
Huwa najiuliza kila siku, hawa professional players huwa wanapatwa na nn wakiwa Bongo? Unajua match za mtoano zina plans zake, sioni hilo kwao, na hata zile moments za kumshinikiza refa wao wanakuwa waduanzi km vile wa kutokea ndondo.

Hivi ngoma kucheza kote wydad, hata exposure ya kushinikiza hana, nashangaa mno.
 
Simba ina kawaida mambo marahisi inayafanya magumu. Toka dkk 70 nilijua goli la 2 linakuja.

Ateba, Ahoua, Ngoma hamna kitu. Kocha anachelewa saana kufanya mabadiliko.

Ateba hajui kucheza kama striker, anakaa mbali na goli na hajui kumsoma Mpanzu akiwa anakaribia goli.
Samahani wakubwa magoli kafunga nani? Jini chal haua, Mukwala au Mpanzi. Huku umeme umekata halafu nasikia 2 bila.
Niamini mimi,hatuna kocha
 
Huwa najiuliza kila siku, hawa professional players huwa wanapatwa na nn wakiwa Bongo? Unajua match za mtoano zina plans zake, sioni hilo kwao, na hata zile moments za kumshinikiza refa wao wanakuwa waduanzi km vile wa kutokea ndondo.

Hivi ngoma kucheza kote wydad, hata exposure ya kushinikiza hana, nashangaa mno.
Tukiwambia acheni propaganda za kiswahili tengeneza timu mnatuona maadui
Mnapewa penalties 4 mechi ya Namungo mnaona kawaida, huko juu penalty haitoki ovyo
Makelele Kwa GSM eti anaharibu ligi
Huwezi kuwa bingwa mchezaji akiwa Okajepha, Debora, Ahoua, Ateba na Kibu
Tengeneza timu, sajili watu wa kazi
 
Huwa najiuliza kila siku, hawa professional players huwa wanapatwa na nn wakiwa Bongo? Unajua match za mtoano zina plans zake, sioni hilo kwao, na hata zile moments za kumshinikiza refa wao wanakuwa waduanzi km vile wa kutokea ndondo.

Hivi ngoma kucheza kote wydad, hata exposure ya kushinikiza hana, nashangaa mno.
Nadhani wanafundishwa na kukumbushwa wawe wapole ili kulinda heshma ya nchi si unajua tunafundishwa nidhamu ya woga. Hili nilianza kuliona toka mashindano ya AFL tulipocheza na Al Ahly. Baada ya hapo niligundua tunakubaliana na hali yoyote tunayokutana nayo.

Nimeshasema mara nyingi hadi naonekana nina chuki binafsi kwa Zimbwe, kwa kile anachoofa uwanjani, hastahili kuwa captain wa Simba.
 
Walianza kwa kupita na utopwinyo kwa vitatu hadi Uto wakakomea makundi kwa mchoko yaaani waarabu ni wabadiiiii mno
Kuanzia hapo kwenda kaskazini watu hawana utani na maisha,ujinga wanafanya Chadema wanatupa hasira sana,siasa zinaleta mabadiriko ya kilakitu,majizi yanaiba na bado yanaharibi Hadi mpira fucker
 
Nadhani wanafundishwa na kukumbushwa wawe wapole ili kulinda heshma ya nchi si unajua tunafundishwa nidhamu ya woga. Hili nilianza kuliona toka mashindano ya AFL tulipocheza na Al Ahly. Baada ya hapo niligundua tunakubaliana na hali yoyote tunayokutana nayo.

Nimeshasema mara nyingi hadi naonekana nina chuki binafsi kwa Zimbwe, kwa kile anachoofa uwanjani, hastahili kuwa captain wa Simba.
Kwani mmefunga goli likakataliwa?.
 
Lakini Bruno wa united Huwa anapiga makelele wamembatiza wa kulialia.mbaya wetu ni huyu muoga mkuu Samia anataka kupora.l kitu awape wabaya wetu waarabu arudishe Bandari mapema,waarabu wanatuchukia sana
 
Kumbe hilo boya lilijenga kibanda, shukrani mkuu.
Watu wengi wanaangalia tukio la penati tu ila hawaangalii eneo alilokuwepo Ateba alikuwa kaotea, sio kuotea ilikuwa ni clear penati ile. Walivyofanya marejeo kwa camera ya picha ya mbali ilionesha hivyo. Watu wa VAR room wamejitahidi kutenda haki ingekuwa wameegemea kwa mwenyeji ubao ungesoma 3:0 leo kwa lile goli la tatu la offside.
 
Back
Top Bottom