Nimeamua kukuheshimu pia,Mimi ni Simba mwenzio ni kweli tumefungwa wala sijakasirika...
Sasa wewe mwaniwane makasiriko ya nini?
Nijuavyo mimi demu mwenye makasiriko na matukano huwa anashida ya kumiss djusharere yaani amelikosa dusherere kwa muda mrefu.....
Nimetumia hekima nikutafutie mtu wa kukuondolea upwiru hasira zako zikate faster...
Naomba upokee simu
Tukiweka ushabiki pembeni na kuongea kimchezo; leo simba hamkustahili kufungwa na wale Al Masry! Kwa sababu mliwazidi kila kitu.Kwa hawa kina Ahoua, Ateba na Ngoma, mpewe tu pwenti tatu zenu za mezani tukutane mwakani. Mambo yasiwe mengi.
Tuhamie kwenye calculatorMarry itakuwa timu ya pili kufungwa goli nyingiiiiiiiii kwa Mkapa.Hawataamini
Komwe si ulale jamani, aaaahsasa kwa hivi ulivyovurugwa silali kwaajili yako!
Yaan hadi imekata stimu kabisa, sioni hata tukishinda mbele ya utopolo, kwa uchezaji huu? Nzengeli atapata hat trick,Kwa hawa kina Ahoua, Ateba na Ngoma, mpewe tu pwenti tatu zenu za mezani tukutane mwakani. Mambo yasiwe mengi.
Kibu baadala ya kutoa pasi anapiga chenga 4 halafu anasubiri kuangushwaTukiweka ushabiki pembeni na kuongea kimchezo; leo simba hamkustahili kufungwa na wale Al Masry! Kwa sababu mliwazidi kila kitu.
Isipokuwa kukosekana kwa utulivu pale mbele, ndiyo sababu kubwa iliyosababisha kushindwa kuondoka na ushindi, na badala yake nyinyi ndiyo mkaishia kufungwa na ile timu ya kawaida kabisa.
Kwa Mkapa nina uhakika mtapindua meza. Ila tu mhakikishe Ateba haanzi! Lakini pia Mpanzu apunguze kukimbia kimbia hovyo! Viungo wenu nao wachangamshe mchezo! They are too slow!!
Pumbaaav,Njoo nikupekeche kipenyo chako mwakarobo 😂😂
Ulale sasa. Kama huna usingizi niruhusu nikupeti peti.Yaan hadi imekata stimu kabisa, sioni hata tukishinda mbele ya utopolo, kwa uchezaji huu? Nzengeli atapata hat trick,
Simba ni gharasa la karne. Poor us
Watu mnaroga wallah🤣🤣🤣Mangungu fc watatandikwa 2-0 😂😂😂
Hallua hallua....
Hakuna penati pale, replay inaonesha Ateba alikuwa kwenye eneo la kuoteaHuwa nafurahi sana nikiona makolo wakiteseka, ukweli ni kwamba mna timu mbovu sana, ijapokua mmefanyiwa uhuni wa kunyimwa penati ya wazi kabisa.
ThanksNimeamua kukuheshimu pia,
Dakika 15 za kuanza kipindi cha pili tungeweza kuwapiga hata goli 2 maana walikuwa kama wameshatepeta ila ndiyo kwanza na sisi tukawa hatujui tufanye nini. Baada ya dakika 15 zile kuisha nikakata tamaa na nikasema tutapigwa goli la pili dakika za mwisho.Tukiweka ushabiki pembeni na kuongea kimchezo; leo simba hamkustahili kufungwa na wale Al Masry! Kwa sababu mliwazidi kila kitu.
Isipokuwa kukosekana kwa utulivu pale mbele, ndiyo sababu kubwa iliyosababisha kushindwa kuondoka na ushindi, na badala yake nyinyi ndiyo mkaishia kufungwa na ile timu ya kawaida kabisa.
Kwa Mkapa nina uhakika mtapindua meza. Ila tu mhakikishe Ateba haanzi! Lakini pia Mpanzu apunguze kukimbia kimbia hovyo! Viungo wenu nao wachangamshe mchezo! They are too slow!!
🙏🙏Thanks
Naona leo una furaha hapo ulipo, haya bhana, mie sina neno.Ulale sasa. Kama huna usingizi niruhusu nikupeti peti.