Mimi ni Simba ila nakubali kwa sasa hatuna kikosi cha kushindana na timu kubwa.
 
Ebwana Stellenbosch amekaza huko dhidi ya Zamalek. FT 0-0. Lolote linaweza kutokea.

Stellenbosch siwataki sana, hivi vitimu visivyo na historia vina mtindo wa kukushangaza maana haujui ucheze nao vipi.
 
Wakuu hii mech inaoneshwa chanel gan kwenye CRICFY TV
Cricfy huwa wanazipangia schedule kwenye option ya up coming.

Ila sina hakika kama mechi hii itaoneshwa huko.

Uhakika ni kui browser kuoitia fawanews au app ya Yaccine.
 
Cricfy huwa wanazipangia schedule kwenye option ya up coming.

Ila sina hakika kama mechi hii itaoneshwa huko.

Uhakika ni kui browser kuoitia fawanews au app ya Yaccine.
Ila yaccne wanadelay sana mpaka karibu dakika 2. Sijajua kwingine
 
Hii mechi imekaa kimkakati sana. Inabidi tuwe compact sana kwenye kukaba na kuzuia kama timu... Hatupaswi kupoteza mipira hovyo.
 
Kila la heri simba
 
Yaccine wametuwekea mashindano ya magari

Fawanews wametuwekea heading mechi ya Simba lakini maudhui ya ndani ni Usm Alger na Constantine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…