FT: Argentina 3-2 Egypt | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 7 Julai, 2026 | 1:00 Usiku | Egypt yaaga mashindano

Historia ilikupita kushoto mkuu, kifupi waliokutawala hao hao walihamia Argentina, Asilimia 80 ya Wa Argentina ni wazungu na Asilimia 17 ndio local wahindi wa America. Hata Nazi walivyopigwa Ujerumani wengi walikimbilia huko.
 
Kuna changamoto kubwa kwa timu za Afrika hususani kuanzia dakika 80. Nafikiri wengi wanawaza kushangilia kabla ya kipyenga cha mwisho.
Issue siyo timu za Afrika
Timu zonafungwa na kutolewa
Timu yoyote ingefungwa bila kujali ni ya Afrika, Ulaya au Amerika
 
Imeniuma Egypt kutolewa inaoneka timu za Africa zinafungika dakika za 75 kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…