Msimu jana ligi kachukua Madrid msimu huu Barca msimu ujao hautabiriki Madrid wanakuwa chini ya kocha mpya.Tunazungumzia ligi
Ngoja tuone! lakini El classico vipigo huwa ni mwendo wa kupokezana kwa misimu.Maana Barcelona ndani ya msimu huu pekee 24/25 akishinda na leo inakuwa mara ya nne mfululizo. Babu Lewandoski bado hajaingia.
Hawaelewi hawa acha wakaze fuvu.Msimu jana ligi kachukua Madrid msimu huu Barca msimu ujao hautabiriki Madrid wanakuwa chini ya kocha mpya.
Halafu Barca ligi sio kitu tena kwao, UCL wanazo tano mwenzake 15 na mwaka jana tu kachukua huku Barca mara ya mwisho ni 2015 ifike muda Barca na mashabiki zake waache kupambana na Madrid kwenye ujinga wapambane na mabingwa wa ulaya.
Tena mno yalivyopigwa na arsenal nnje ndani niliyaona viazi mnoMadrid ni wabovu msimu huu.
Pole naona huu msimu umekuumiza sanaMsimu jana ligi kachukua Madrid msimu huu Barca msimu ujao hautabiriki Madrid wanakuwa chini ya kocha mpya.
Halafu Barca ligi sio kitu tena kwao, UCL wanazo tano mwenzake 15 na mwaka jana tu kachukua huku Barca mara ya mwisho ni 2015 ifike muda Barca na mashabiki zake waache kupambana na Madrid kwenye ujinga wapambane na mabingwa wa ulaya.
Laliga hamna KEFA KAYOMBOHawa barca ni simba watupu kabisa😬
Hili timu la serikali (Real Madrid) usikute hiyo record waliyonayo huko nyuma ni ya kubebwa sana. Timu, vyama na taasisi za serikali siyo za kuziamini kwamba mafanikio yao yanatokana na juhudi zao pekee.Msimu jana ligi kachukua Madrid msimu huu Barca msimu ujao hautabiriki Madrid wanakuwa chini ya kocha mpya.
Halafu Barca ligi sio kitu tena kwao, UCL wanazo tano mwenzake 15 na mwaka jana tu kachukua huku Barca mara ya mwisho ni 2015 ifike muda Barca na mashabiki zake waache kupambana na Madrid kwenye ujinga wapambane na mabingwa wa ulaya.
Arsenal akapigwa na PSG nje ndani hawa ni zaidi ya magimbi.Tena mno yalivyopigwa na arsenal nnje ndani niliyaona viazi mno
Kocha mpya wa Madrid ni Alonso maana ameshaaga kule liverkusen,ana kazi kibwa sana kwa haya machezaji mazito.
Basi wewe ni shabiki wa madrid maana nyingi ulizoorodhesha hapo ni zile ambazo madrid ndio alishinda, anyway leo barca akishinda basi msimu huu madrid anakuwa kapigwa mara nne mfululizo na barca, jumlisha na ya tano mwanzo wa msimu kwenye mechi yao ya kirafikisijataja zote nitajaza server bure!
Vitoto vya Barcelona visibweteke kuipiga Madrid , sisi manjesta ya kina lody magwaya na hii beki yao mbovu tutaipiga kama ngoma🤣🤣Arsenal akapigwa na PSG nje ndani hawa ni zaidi ya magimbi.
#Trusttheprocess
Barca hana UCL toka 2015 Madrid toka 2015 mpaka sasa ana UCL 5 hii ni idadi ya makombe yote ya UCL ya Barca katika historia yake.Hili timu la serikali (Real Madrid) usikute hiyo record waliyonayo huko nyuma ni ya kubebwa sana. Timu, vyama na taasisi za serikali siyo za kuziamini kwamba mafanikio yao yanatokana na juhudi zao pekee.
Mwambie GSM awe refa June 15Laliga hamna KEFA KAYOMBO