FT: CAF Champions league | Semi-Final | 1st Leg | Orlando Pirates 0-0 Pyramids SC | FNB Stadium | 19.04.2025

Kwa mpira huu.Kule kwa farao atakula nyingi au kimoja cha nguruwe biashara iishe.Piramids wanacheza kama wako nyumbani.umaliziaji tu ndo mbovu
Orlando hana nyumbani au ugenini. Akiwa ugenini ana uwezo wa kukaza na ukikaa kizembe anakufunga hapo hapo kwako
 
Haya mashindano yanaanza kupoteza ladha... Ni wazi sasa mcheza kwao analindwa.
Hivyo ni upuuzi mkubwa ..
 
Kwa mpira uliopigwa leo πŸ™Œ Ni level za UEFA CHAMPIONS, Pyramids nimewavulia kofia πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…