FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Samahani mrwanda.
Nilijikuta nimezaliwa mbongo, na siukatai.
Kitu kingine ambacho sifanyi ni kujitia ujinga kua eti simba inaenda kushinda nyumbani kwa Wydad.

Samahani kama mtazamo huu haukuvutii ila ndo mtazamo wangu. Upokee tusubiri second leg.
Wapi nimesema mimi ni mrwanda? Nimesema wabongo tunapenda kua negative.
 
Chamaa leo kakosa bao la wazii hadi nilikua natamani kulia kwa sauti, maana chozi lilikua linatokaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba inakutesa sanaa, sijui kwann unatesekaa, kwan ni lazima wee utesekee??
 
Hii trip ya Morocco lazima tukodi ndege tuingie Casablanca kibingwa, hakuna muda wa kupitia sijui Ethiopia, sijui Dubai. Yanga wameondoka Jumatatu mpaka leo wako njiani hawajafika Nigeria. Wanaungaunga tu.
 
Mimi hata wanikatae na wanipige Morroco ni moja Kati ya nchi ninazozipenda hapa Africa ,nikipata hela panapo majaaliwa nitafanya utalii hapo mpaka jezi yao nimenunua.
Inshaallah,kikubwa usiache kumpa mkono Hackimi katuheshimisha😂😅
 
Hii trip ya Morocco lazima tukodi ndege tuingie Casablanca kibingwa, hakuna muda wa kupitia sijui Ethiopia, sijui Dubai. Yanga wameondoka Jumatatu mpaka leo wako njiani hawajafika Nigeria. Wanaungaunga tu.
[emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Ni heshima kumfunga bingwa.... halafu wachambuzi wengi uchwara walisema simba anakufa home and away.. Naomba muwe watulivu, hata kama Simba atatoka ila sio kwa aibu kama mlivyodhani, na Wydad wakileta dharau, hawataamini macho yao
 
Haikuwa Yanga. Ilikuwa Simba. Na alikuwa anaongoza 2. Match iliyofuata ikawa draw. Nakumbuka ni kati ya 1998 mpaka 2000 hapo. Timu pinzani siikumbuki bali walikuwa waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…