Diazepam
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,263
- 3,523
uto ni wanafiki ila hawezi kuwa mnafki kulinganisha wydad na utopwinyo.Basi tulidhani wydad ni litimu likubwa kumbe kama simba tu mmeshindwa hata kuifananisha na utopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uto ni wanafiki ila hawezi kuwa mnafki kulinganisha wydad na utopwinyo.Basi tulidhani wydad ni litimu likubwa kumbe kama simba tu mmeshindwa hata kuifananisha na utopolo
Mbona ninyi hamna hiyo nyota?Simba huwa wana nyota sana na hii michuano haswa wakiwa na timu ya kawaida.
Ila kweli, unashangaa tunatinga Semi final.Basi sote tubaki na mitizamo yetu.
Simba huwa wana nyota sana na hii michuano haswa wakiwa na timu ya kawaida.
Umesahau kipindi mnapigwa HAMSA HAMSA lakini mliongoza kundi na kutinga robo fainali mbele ya Al Ahaly, AS Vita na Al Saura tena zikiwa za moto?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ana uhuru wa kuchangia mawazo hata kama timu yake Utopolo itafungwa kesho lakini hili ni jukwaa la Jamii zozote za Watu duniani Mtani [emoji4]Awashauri Utopolo wenzie si nao wapo kule wanashirikishwa
Amepigwa [emoji23]Leo Simba anapigwa ,Simba atapigwa nje ndani.
[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]Simba anafungwa leo 3 bila
lakini kwa Mkapa hatoki mtu kama kawa..!Siku hizi sisemi mapema maadui wetu ni wengi lakini kwa Mkapa hatoki mtu kama kawa..!
Nipe mrejesho baada ya FTUtapotoshwa
SIMBA forever..!!!!!Asante kwa kibwagizo cha picha hilo lakutisha, NGUVU MOJA.
Utanielewa next weekNipe mrejesho baada ya FT
Kuna VARWaarabu wahuni tu, picha linaanza pale kwao dakika ya pili wamepewa penalti, dakika ya tano mmekula red, dakika ya 8 pressure imeshapanda tunajifunga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka kipindi cha kwanza kiishe wote tumechoka mpaka mashabiki huku Vingunguti🫣🫣🫣 tunaangalia dakika tu mpira uishe...
Sasa huu nao ni ujinga,Leo Mpira umemkataa na Kila mtu kaona angemtoa..
Mbona anavumiliwa Kwa kumuacha Tiba licha ya kuboronga?
Mimi sio mwana Simba Wala Tanga ila napenda Mpira na kuona Timu zetu zinajenga heshima ya Tanzania..
Na mambo ya Yanga na Simba Huwa naangalia mechi za Kimataifa tuu.
😂😂😂😂😂😂🙅[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]
Shukran sana mkuuSimba Vs Al Ismailia, 2-0 ikasimamishwa na iliporejewa 1-0
Tunashukuru kwa ushindi huu mwembambaMechi ya leo ilikua upande wa simba. Kama kawaida waidad wakiwa away wanacheza mpira wa kupooza, kupoteza muda, wanatengeneza nafasi chache, lakini mind set yao ni either droo au ufunge lakini kwa idadi ndogo ya magoli. Hakika simba ameprove kua moja ya timu bora Africa.
Imelinda heshima ya Uwanja wa mkapa. Kwa jicho langu la kiroho kipindi cha kwanza simba alikua shinde goli 2 ukiacha la baleke. Jamaa wajanja sana wakawasha ule moshi kupooza mpira. Nahisi jamaa walichungulia wakaona goli 2 kipindi cha kwanza. Tuone Cansanlanca itakuaje
Wabongo tunapenda kua negativeKwa kutokutumia nafasi tulizopata, leo tumeaga mashindano