FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Ko mnabeza kama sehemu ya motisha sio
 
Uzuri Yanga hana cha ugenini anakulaga tu.
Ila kama timu isipobadilika kipindi cha pili, aisee hawa jamaa wataondoka na ushindi. Maana timu yetu imekosa kabisa watu wa kumpitishia Mayele mpira.
 
Aliyepo karibu na dogo kamwe hapo kwa Mkapa apige naye picha kisha arushe hapa tumpe hongera zake dogo kabla hajaenda kwa bi Hamsa M kufumania maana hana akili huyo dogo๐Ÿ˜‚
 
Yanga inashinda easily hii game, USM Algers haina mpira mkubwa hata kidogo, kiwango cha Yanga kipo juu sana, kwa Half time tumeona jinsi Yanga wamefika mara nyingi mno ktk goli la Algers, dak 45 zilizobakia mtaona moto mkali na Yanga anashinda
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mwache mwenyekiti wa komwe huyo
 
Kisinda akiendelea..job anaweza kula umeme..jamaa hashuk kabisa kusupport...
Kocha amtoe ki na kisinda....
Aingize kiungo wa kati na winger mmoja...
Musonda aje kati na mayele...
Yanga inampiga uyu 2
 
UTOPOLO KAMA MNA AKILI TIMAMU MSIJE ALGERIA TUTAWAPIGA KIPIGO CHA MBWA KOKOู…ุณู†ุณู†ูŠู†ุทู†ุซู†ุซู†ู†ุฐู…ูŠู†ูˆุซุจูˆุทูˆู‰ูŠู‰ู‰HABIB HABIB
USM ALGER DE CHAMPION
 
Shangilia uone hasira za uto, watadhani unashabikia Waarabu. Hili tatizo lipo katika makuzi ya mtanzania, hatuna utamaduni wa kukubali kuwa tofauti.
Hahaha.........ujasiri wa kushangilia unatoka wapi kama watu wameloa kwa Mkapa ๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ