Nimemsikia Ahmed Ally akibeza mafanikio ya Yanga kwamba imekutana na vibonge kwa hatua zote alizopita,swali ambalo semaji la CAF hawezi kujibu ni kwamba je Yanga imebeba ubingwa wa NBC Simba akiwa wapi?(Ambayo ni timu imara na giant zaidi ya Yanga?) Achana na hilo swali utapigwa makofi. Wapo...
www.jamiiforums.com
Na kwakua mliwahi kusema mafanikio yenu yamechangiwa na kubezwa na mashabiki wa Simba.
Basi nasisi leo tutaangalia namna bora ya kuwafanya mpate motisha ya kuzidi kukaza, mchukue kombe.
Aliyepo karibu na dogo kamwe hapo kwa Mkapa apige naye picha kisha arushe hapa tumpe hongera zake dogo kabla hajaenda kwa bi Hamsa M kufumania maana hana akili huyo dogo😂
Yanga inashinda easily hii game, USM Algers haina mpira mkubwa hata kidogo, kiwango cha Yanga kipo juu sana, kwa Half time tumeona jinsi Yanga wamefika mara nyingi mno ktk goli la Algers, dak 45 zilizobakia mtaona moto mkali na Yanga anashinda
Kisinda akiendelea..job anaweza kula umeme..jamaa hashuk kabisa kusupport...
Kocha amtoe ki na kisinda....
Aingize kiungo wa kati na winger mmoja...
Musonda aje kati na mayele...
Yanga inampiga uyu 2
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.