FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Yes hilo lipo, lakini ukweli ambao upo na amini hata wewe unaelewa hujawahi kukutana na aina hii ya huyu mpinzani

Kwanini mlivyopangwa na Rivers mlifurahi, lakini mlivyosikia fainali mnacheza na USM ALGER ile furaha mliyoionesha kwa Rivers United haikuonekana?
 
Hana upinzani wowote huyo Mwarabu Koko wako, narudia tena kwenu Ndugu zangu Makolokolo jifunzeni kuwa na akiba, mpira huwa hauna matokeo ya kukariri.

03/03/2023 Tukiwa wazima utaufukua huu ujumbe kunikumbusha Yanga FC akishatwaa ubingwa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nasema huna akili fanali unapangwa ukutane na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…