FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Kuna haja ya uongozi wa yanga kumfanyia tadhimini kocha nasredine nabi kama kweli anatosha kama kocha wa yanga.
Timu inacheza vile vile miaka nenda miaka rudi. Ni kama kocha hana cha kuwaongezea wacheza.
 
Mpira umeanza kufatilia lini Mkuu mbona hilo jambo la kawaida sana,kuna team bora zinafungwa ndan ya sekunde tano tu sembuse Yanga
ni kweli , na mara nyingi ni kwasababu ya imaturity. kwenye stage kubwa kama hiyo kila goli either for or against kocha anakuwa ameshapanga mtafanyaje.. to concede soon after that means haukuwa na plan.
 
Kuna haja ya uongozi wa yanga kumfanyia tadhimini kocha nasredine nabi kama kweli anatosha kama kocha wa yanga.
Timu inacheza vile vile miaka nenda miaka rudi. Ni kama kocha hana cha kuwaongezea wacheza.
Mara hii tu yamekuwa haya[emoji2]
 
Kuna haja ya uongozi wa yanga kumfanyia tadhimini kocha nasredine nabi kama kweli anatosha kama kocha wa yanga.
Timu inacheza vile vile miaka nenda miaka rudi. Ni kama kocha hana cha kuwaongezea wacheza.
Hujui chochote kuhusu mpira Kuna mchezo wa nage pia pengine utakufaa.
 
Hivi Mayele kwann Yuko Tanzania?
Yale yale ya Kina Giruod kucheza Arsenal FC ilihali akina Ngassa wako Bongo [emoji38]

Hii dunia haiko fair kabisa, kiwango cha Mayele hata akina Kai Havertz hawafikii robo ila wanakula mishahara ya bure kabisa kwenye klabu ya Chelsea FC UK [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
IMG-20230528-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom