FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Wapenda maandazi wamelala kwa maumivu..wao kila kitu wanachagua maandazi...tuwape maandazi yao...
 
Ila mkichukua kombe sijui nitaficha wapi sura yangu mieeee [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kumbe uko 50/50?bila shaka ubora wa yanga ndio unaoufanya usiamini moja kwa moja kua mechi imeisha,Safi! kuanzia leo nakutoa kwenye kundi la mbumbumbu
 
USM TUPO MACHO BADO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
UZI HUU UTOPOLO WANAUPITA KAMA WANAAGA MAITI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Hata mabingwa wa nchi tupo apa,tunafanya maandalizi kwenda kuchukua kombe mbele yenu
 
Kumbe uko 50/50?bila shaka ubora wa yanga ndio unaoufanya usiamini moja kwa moja kua mechi imeisha,Safi! kuanzia leo nakutoa kwenye kundi la mbumbumbu
Ww kama unachukulia siriaz kila kitu utaumia..mimi natania tuu...sio kwamba sijui matokeo ya mpira..any thing may happen...japo ni kwa percent ndogo kwa matokeo ya leo na jinsi hao USM wanavyocheza..
 
UZI HUU UTOPOLO WANAUPITA KAMA WANAAGA MAITI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Baada ya kuambulia patupu msimu mzima
 
Waarabu wameingia kwa mkapa wakiwa wameshika dumu la korie....kilichotokea sasa ni tukio la udhalilishaji wa kijinsia
 
Ww kama unachukulia siriaz kila kitu utaumia..mimi natania tuu...sio kwamba sijui matokeo ya mpira..any thing may happen...japo ni kwa percent ndogo kwa matokeo ya leo na jinsi hao USM wanavyocheza..
Just like you, nothing serious,enjoy mrembo,mnafuraha sana leo,hongeren kwa ushind waarabu wa bunju
 
Back
Top Bottom