Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Na ww acha kujisahaulisha nyie kwa miaka 4 iliyopita mlikua mnaambulia nini...Baada ya kuambulia patupu msimu mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ww acha kujisahaulisha nyie kwa miaka 4 iliyopita mlikua mnaambulia nini...Baada ya kuambulia patupu msimu mzima
Hahaha eti waarabu wa bunju... 😆 😆 😆Just like you, nothing serious,enjoy mrembo,mnafuraha sana leo,hongeren kwa ushind waarabu wa bunju
Baada ya kuambulia patupu msimu mzima
Hata mabingwa wa nchi tupo apa,tunafanya maandalizi kwenda kuchukua kombe mbele yenu
Amejisahaulisha..tena nakumbuka enzi hizo mashabiki wa uto wanalalamika timu yao haipati kitu kwny ligi ya ndani na michuano ya kimataifa napo haipo ila Simba ilikua inachakaza ndani nje...2017
2018
2019
2020
MISIMU HYO ULKAA BILA KOMBE HATA LA CHAI KIMATAIFA NDYO USISEME KBSA
USM ALGER تستينيميميمييميمييمطىيثمثيمHABIB HABIB
Naona classmates zako wamekufanya utambe leo2017
2018
2019
2020
MISIMU HYO ULKAA BILA KOMBE HATA LA CHAI KIMATAIFA NDYO USISEME KBSA
USM ALGER تستينيميميمييميمييمطىيثمثيمHABIB HABIB
Kuna nini kimeendelea kwan
Dada mbona hasira? 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Shikamoo peleka huko kwa wanafki wenzio
Sijui hata unaongelea nini mbona😂😂😂Dada mbona hasira? 🤣🤣🤣🤣
Dar yang aflika imeshinda kwa Kaunda pale Jangwani kwenye chura. Tuwapongeze.Sijui hata unaongelea nini mbona😂😂😂
Kwan nini kinaendelea?
😆😆😆😆😆Dar yang aflika imeshinda kwa Kaunda pale Jangwani kwenye chura. Tuwapongeze.
Leo sitolala. Nina furaha sana. Nina furaha mno. Marehemu alichonga sana.
Mnoooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] Raha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukuje nikupee poleeee[emoji81][emoji81]tupeane pole PM [emoji174]
Si mngefanyaa leo hapa chumbani kwenu?? Yaan umefatwaa ghetto na bado umeliwa, ndo uende ghetto kwake ukamleee??Hawataamini wanaume watakachokifanya kule