FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Nani mlimpiga kwao mkienda mnaambulia kupigwa tu Nani mtaje mwarabu mliempiga ? Ukiniambia Mimi nakutajia Yanga mwarabu aliempiga haya wewe taja Nani ?
Muarabu unae kutana nae wee, tuki kutana nae sie analowaa mengiii.
 
Bado nafasi ipo japo ni finyu,so hata tukitoka still zipo medali ya mshindi wapili wanaotupigia makelele hajawahi kufika hatua hii hatua wala kuvaa medal.Hii inaonyesha sisi ni wakubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani nyie kumbe mnagombania Medali??? Hebu tujuzeee?

Ko mnataka kombe LA Medali sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitu ambacho sikukijuwa kumbe Simba wanaumia sana na mafanikio ya Yanga.

Leo hadi yule Askofu Kamanda wa a Chadema Mwamakula ameshindwa kujificha furaha yake baada ya Yanga kupoteza mechi ya kwanza.

Ole wenu Yanga irudi na kombe mtafute nchi ya kuhamia mapema tena Burundi siyo Mbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutoleee ashuo hapaaa.
Mmekandwaaaaaaaaaaaaa!!! Huko Burundi mtaenda nyie baada ya kutoka na aibu huko Algeria.
 
Kuna haja ya uongozi wa yanga kumfanyia tadhimini kocha nasredine nabi kama kweli anatosha kama kocha wa yanga.
Timu inacheza vile vile miaka nenda miaka rudi. Ni kama kocha hana cha kuwaongezea wacheza.
Kheeeeeeeh mmeshaanza kumkataa Nabi mapema yotee hiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Professor km professor leo kawa undergraduate. Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kheeeeeeeh mmeshaanza kumkataa Nabi mapema yotee hiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Professor km professor leo kawa undergraduate. Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wamelowaaaaaaaaaaa
 
UZI HUU UTOPOLO WANAUPITA KAMA WANAAGA MAITI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walianzishaaa kwa mbwembweee uwiiiiiih.
 
Wananchiiiiiiiiii
FB_IMG_1685282498832.jpg
 
Back
Top Bottom