Muarabu unae kutana nae wee, tuki kutana nae sie analowaa mengiii.Nani mlimpiga kwao mkienda mnaambulia kupigwa tu Nani mtaje mwarabu mliempiga ? Ukiniambia Mimi nakutajia Yanga mwarabu aliempiga haya wewe taja Nani ?
Ulivyo mtu hawezi dhania kama una uchawi ndani yakoππLeo sitolala. Nina furaha sana. Nina furaha mno. Marehemu alichonga sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani nyie kumbe mnagombania Medali??? Hebu tujuzeee?Bado nafasi ipo japo ni finyu,so hata tukitoka still zipo medali ya mshindi wapili wanaotupigia makelele hajawahi kufika hatua hii hatua wala kuvaa medal.Hii inaonyesha sisi ni wakubwa.
πππππ
Kwenda huko na pongezi zako
View attachment 2638721
Mdomo tuu⦠embu lala tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anachekeshaaa balaaaaUshakuwa therapist naona umeanza kutoa counseling
ππππππππππππππππππππππππππππ
Morisson mwenyewe kashika mpira mara 2 tyuuh.Hii mechi nadhani morrison alitakiwa aanze then kisinda aje kumalizia.
Wote tunagombea kombe na medali,wewe ushawahi kufika hatua hii au walau kupata hata medali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani nyie kumbe mnagombania Medali??? Hebu tujuzeee?
Ko mnataka kombe LA Medali sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutoleee ashuo hapaaa.Kitu ambacho sikukijuwa kumbe Simba wanaumia sana na mafanikio ya Yanga.
Leo hadi yule Askofu Kamanda wa a Chadema Mwamakula ameshindwa kujificha furaha yake baada ya Yanga kupoteza mechi ya kwanza.
Ole wenu Yanga irudi na kombe mtafute nchi ya kuhamia mapema tena Burundi siyo Mbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikukumbushe kuwa mzalendo asee mayele leo kasomewa dua anazozielewa mnyaazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni matokeo ya mpira tu
Tukubali tumefungwa... tujipange kwao tukashinde mbili, ingawa ni mlima mkubwa mno
ππππππππππππππππππππππππππππ
Aiseeeeee
Umeshinda bas
Kheeeeeeeh mmeshaanza kumkataa Nabi mapema yotee hiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna haja ya uongozi wa yanga kumfanyia tadhimini kocha nasredine nabi kama kweli anatosha kama kocha wa yanga.
Timu inacheza vile vile miaka nenda miaka rudi. Ni kama kocha hana cha kuwaongezea wacheza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ππ‘ππ§π€π¬
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wamelowaaaaaaaaaaaKheeeeeeeh mmeshaanza kumkataa Nabi mapema yotee hiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Professor km professor leo kawa undergraduate. Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapenda maandazi wamelala kwa maumivu..wao kila kitu wanachagua maandazi...tuwape maandazi yao...
Wamelowaaaaaaaaaaaaa!!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utopwoloo wamelouwaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walianzishaaa kwa mbwembweee uwiiiiiih.UZI HUU UTOPOLO WANAUPITA KAMA WANAAGA MAITI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waarabu wameingia kwa mkapa wakiwa wameshika dumu la korie....kilichotokea sasa ni tukio la udhalilishaji wa kijinsia