Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Hii simu sijui imepatwa na Nini aisee it's almost two weeks now picha kwenye jf hazi display [emoji35]Muangalie huyu halafu niambie ni kiasi gani cha chuki ambacho amekionesha kunizidi mimi
Then nitapima kiwango chako cha unafiki iwapo utashindwa kuona chuki kupitia hii picha
View attachment 2638120
Una pretendHii simu sijui imepatwa na Nini aisee it's almost two weeks now picha kwenye jf hazi display [emoji35]
مرحبا، حمل تطبيق ياسين تيفي الان لمشاهدة جميع المباريات والعديد من القنوات بدون تقطيع من هنا : www.yacineapp.tvBro Scars una link ya live match?
Kwenye fungulia mbwa ni kawaida Mkuu kukutana na changamoto kama hiziWatu tumetoka mbali sana kwa ajili ya hii mechi tu, na tunaondoka leoleo baada ya mechi kurudi Kijijini.
View attachment 2638140
Sawa.. Ngoja tusifukue makaburiSijawahi kimbia mimi
Mkaweka mechi mchana mpate assist ya jua ili kuwakomoa waarabu mvua imewaumbuaSawa.. Ngoja tusifukue makaburi
Update Uzi kikosi kishatokaLeo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa
Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Alger
Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa.
Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa mara ya kwanza, na pia ziliwahi kukutana kwenye msimu wa 2018 ambapo Yanga alifungwa kwa hiyo mechi hii inaweza kuwa ya kisasi
Nini kitatokea?
Karibuni kwa live updates kuanzia mwanzo, kati na hata mwisho wa mtanange huu muhimu!
Kwa wanaofuatilia kwenye Tv.. Azam (zbc 2) na Dstv ( Chaneli namba225) watarusha mubashara mechi hii