FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Hii simu sijui imepatwa na Nini aisee it's almost two weeks now picha kwenye jf hazi display [emoji35]
Una pretend

Utasimuliwa maelezo ya kwenye picha

Hiyo picha inamuonesha Raisi wa Club yenu ya Yanga Engineer Hersi akiwa amevaa jezi ya Kaizer Chiefs kwa ajili ya kuisapoti kwenye mechi dhidi ya Simba.
 
Hali za Friend of USM Alger[emoji1]
IMG_20230528_144151.jpg
 
Watu tumetoka mbali sana kwa ajili ya hii mechi tu, na tunaondoka leoleo baada ya mechi kurudi Kijijini.
 
USM ALGER WANAKULA KARANGA MBICHI SSHV[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
USM Alger hawawezi kufungwa na timu ya ujanja ujanja kama Utopolo......NEVER.

Let's go Alger [emoji837][emoji837][emoji837].
 
HABIB HABIB THALATHA BIN THIFULI
USM ALGER LE CHAMPION

مسمينينطنثنثمحمو ىووينطويثحخ ووويوثنينىطىظىسمmayele Hospital [emoji196][emoji196][emoji196]
 
Kila la kheri timu yangu toka nikiwa mdogo Union Sportive de la Médina d'Alger!!!
 
Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa

Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Alger

Mechi hii itachezwa mnamo saa 10 jioni kwa saa za Africa mashariki kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa mara ya kwanza, na pia ziliwahi kukutana kwenye msimu wa 2018 ambapo Yanga alifungwa kwa hiyo mechi hii inaweza kuwa ya kisasi

Nini kitatokea?

Karibuni kwa live updates kuanzia mwanzo, kati na hata mwisho wa mtanange huu muhimu!

Kwa wanaofuatilia kwenye Tv.. Azam (zbc 2) na Dstv ( Chaneli namba225) watarusha mubashara mechi hii
Update Uzi kikosi kishatoka
 
Back
Top Bottom