Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Bantu Lady Ujue Nimecheka hadi nimepaliwa. Koh koh koh.Pale litimu lako linaishia robo... eti una nguvu ya kuicheka timu inayocheza fainali. Zaidi hiyo ni Leg 1 of 2... lolote linaweza kutokea kwenye Final leg 2 of 2.
Tunawaachia uzi, timu mkeshe hapa. Yanga bado ni bingwa wenu wa NBC, mna mengi ya kutolea uchungu leo... tunaelewa.