FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Pale litimu lako linaishia robo... eti una nguvu ya kuicheka timu inayocheza fainali. Zaidi hiyo ni Leg 1 of 2... lolote linaweza kutokea kwenye Final leg 2 of 2.
Tunawaachia uzi, timu mkeshe hapa. Yanga bado ni bingwa wenu wa NBC, mna mengi ya kutolea uchungu leo... tunaelewa.
Bantu Lady Ujue Nimecheka hadi nimepaliwa. Koh koh koh.
 
Pale litimu lako linaishia robo... eti una nguvu ya kuicheka timu inayocheza fainali. Zaidi hiyo ni Leg 1 of 2... lolote linaweza kutokea kwenye Final leg 2 of 2.
Tunawaachia uzi, timu mkeshe hapa. Yanga bado ni bingwa wenu wa NBC, mna mengi ya kutolea uchungu leo... tunaelewa.
Sahau maisha yako yote my sister, kule ni sehemu ingine kabisa
 
Hapo vipi? Nani Andazi?
IMG-20230528-WA0041.jpg
 
Halafu mwarabu anasikitika kwa ushindi mwembamba kwamba eti hali ya hewa haikua rafiki! Hiki ndio kipimo sahihi kwa yanga..ngoja tuone second leg.
 
Nyie msitupangie la kusema mkiamua mtupe makomhe yote hata kombe la kutype sawaaa...ila mmepigwaaaaaaa
Wewe jamaa nimekupenda bure, ungekuwa demu ningekufuata tukeshe wote tunafurahi maana furaha zetu leo zimepatana😂🤣
 
Back
Top Bottom