Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Prove wrong dhidi ya vibonde hata haishtuiHaha.. wewe shikilia hapohapo. Yanga imewaprove wrong wengi kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prove wrong dhidi ya vibonde hata haishtuiHaha.. wewe shikilia hapohapo. Yanga imewaprove wrong wengi kama wewe
Akya naniWaliingia Kwa kuvunja mageti natamni kjua wameondokaje😀😀
Kwa nguvu gani za kucheka ulizonazoo??? Unaliaaa huku unafuta kamasiiii, poleeeeeeeeeBantu Lady Ujue Nimecheka hadi nimepaliwa. Koh koh koh.
Nafikiri watu watalala sasa.Tuliwaambia mmeshinda timu dhaifu. Nadhani mmeelewa.
Hata mimi nilijua ww ni mwanaume unipe...maana wanawake siwapendagi..Wewe jamaa nimekupenda bure, ungekuwa demu ningekufuata tukeshe wote tunafurahi maana furaha zetu leo zimepatana😂🤣
😅😅😅 Hizi mambo za kawaida sana Mtani.Mwenzako leo ukikaidi utapigwa2 kwenye huu uzi ataingia kwa kunyata View attachment 2638354
Nikuache kwani we ni Mama Watoto wangu nakupa talaka au?Achana na mimi mzeee...leo ni kwamba mmepigwaaa haitabadilisha ukweli...
Nakujaaaaaaaaaa nakupa kote koteee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo basi unipe baby leo nina hamu
Mandazi f cAkya nani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hiyo ndio USM ALGERHii ni yanga sio kolowizard
Huko sio ugenini kwa timu inayoshuka darajaWananchi bado mnazo dakika 90 za kujiuliza ugenini, wishing you all the best.
SawaNa tutapindua meza ugenini, tunza huu ujumbe utanikumbuka 03/06/2013, tuombeane uzima.
Wakati mwingine makombe huamuliwa na bahati si mpira tu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Vibonde umecheza nao miaka 5 umeeashindwa mpk ulipoamua kuunguza viwanja vya watu,hii ni yanga usisahauProve wrong dhidi ya vibonde hata haishtui
Nafasi finyu ingawa kwenye mpira kila kitu kinawezekanaYanga bado ina nafasi kubwa ya kutwaa kombe hilo kwenye mechi ya marudiano ugenini
Mtani hebu acha tukanyonyeshe watoto sasa. 🤣🤣Cha muhimu tuna million 20 za mama za kutufuta machozi...au Shadeeya Bantu Lady mnasemaje ?.....😊😊
furaha yenu haidumu aiseee