FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Tatizo
Siasa na wanasiasa wameingilia mechi.

Sijaona umuhimu wa kugawia watu mabango na Tshirt za Samia
 
Kitu ambacho sikukijuwa kumbe Simba wanaumia sana na mafanikio ya Yanga.

Leo hadi yule Askofu Kamanda wa a Chadema Mwamakula ameshindwa kujificha furaha yake baada ya Yanga kupoteza mechi ya kwanza.

Ole wenu Yanga irudi na kombe mtafute nchi ya kuhamia mapema tena Burundi siyo Mbali.
Hata CCM imeumia kuona Club yao imefungwa
 
Waarabu wanakuja kufanya dhihaka kwenye nchi ya kikapuku ya kilofa
Job done.
masikini, makapuku wamefungwa kwa mkapa na kupoteza maisha wamepoteza umasikini mbaya sanaaa.

Tanzania ya kikapuku mno
 
Kiuhalisia hii ndio timu yenye ushindani tangu mmefika shirikisho

Zile kelele za kusifia kikosi chenu ziliwalevya mkaaahau ubovu wa wapinzani wenu na mkaanza kutubeza.

Hii timu mngecheza nayo kwenye hatua ya robo, huku msingefika.

Ngoja mwakani tutawaona Club Bingwa
Nakumbuka kwa Marumo ulisema hivi hivi
Kubalini tu kua msimu huu yanga ipo timamu
 
There is something wrong na hii nchi.. kuona shabiki wa Ac milan au napoli publicly anaombea Inter Milan isishinde Fainali ya uefa ni mara chache sana, same goes for Man city... hua utani unaishia kwenye domestic cups au ukizidi labda hizi hatua za chini kwa robo au makundi lakin fainali, ndoo inakuja Kariakoo kwa wenzetu sijawahi kuona
 
Mjinga anamcheka mwenye akili hata akifeli somo moja[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wanataka wafanane mjinga mjinga tu kufeli ndio maisha ya mjinga
IMG-20230212-WA0037.jpg
IMG-20230528-WA0116.jpg
IMG-20230528-WA0117.jpg
 
Nakumbuka kwa Marumo ulisema hivi hivi
Kubalini tu kua msimu huu yanga ipo timamu
Marumo nilisema wamecheza vizuri kuliko watangulizi ambao mlikutana nao.

Na kweli angalia mechi waliyocheza hapa kwa Mkapa fananisha na hao wengine utaona Marumo walikuwa hatari kuliko wale wengine.

Lakini tukisema Yanga ipo vizuri tunaweza kukubaliana lakini pia kuna sehemu tutakwama.

Kwasababu Yanga ilianzia Club Bingwa, huko ilitolewa. Ilitolewa kwasababu ilikutan na timu iliyo bora

Sasa kama kipimo cha ubora ni Rivers na Marumo ambao wameshuka daraja, ni kweli Yanga ni bora.

Lakini naamini itafika wakati mashabiki ndio mtakaosema, hili nalifahamu maana ni desturi ya mashabiki wa hizi Club

Kile kipindi tulisema sana kuhusu maoungufu ya timu yenu, mkatubeza. Lakini mlivyopata sare na Club Africain nyinyi ndio mlikuja kuyasema yote yale tuliyokuwa tunayasema sisi.

Ni muda tu
 
There is something wrong na hii nchi.. kuona shabiki wa Ac milan au napoli publicly anaombea Inter Milan isishinde Fainali ya uefa ni mara chache sana, same goes for Man city... hua utani unaishia kwenye domestic cups au ukizidi labda hizi hatua za chini kwa robo au makundi lakin fainali, ndoo inakuja Kariakoo kwa wenzetu sijawahi kuona
Mtu mweusi shida mkuu
Kipindi Cha utumwa muarabu alikua anakuja kununua watumwa kutoka kwa machifu wa kiafrika
Yaani muafrika anamuuza muafrika mwenzake
Same applies,Simba anaenda kuroga ili yanga afungwe wakati hata hiyo mechi haimhusu
 
Back
Top Bottom