Tokea draw inapangwa ya robo fainali ilianishwa fixtures za mechi zote hadi fainali. Yanga alikuwa kwenye semi final 1 hivyo fainali itakuwa semi final 1 vs semi final 2Hizi taarifa mmezipata wapi?
ASEC hatoki ila kitakachompa matumaini goli la ugeniniUmejuaje mnakutana na USM na sio Asec?
Nabi hatabiriki, unaweza ukawaonea huruma hao Waarabu.Sema jamaa wako Vizuri wanapiga pila biriani hatari
Hawa tukitaka tubebe ndoo wasishinde gori la mwanzoni iwe NYUMBANI au ugenini yaan wasianze kytufunga
Mana mpk now ASEC kashapagawa labda kipindi cha pili wabadilike
USM wanapiga pila kama RAJA alivyowafanyia SIMBA kwao
wanalinda gori vizuri na wakipata mpila moto wanaenda kusaka bao kwa speed ua 4g yaan hatari
ASEC wamepoteana
USM wanacheza kama timu ya ulaya kabisa ,Speed , Timing na Maamuzi ya haraka wapo very faster.Wangelipatia wapi kwa msako ule?
Yaan kinachowasaidia ni kuwa kuna wachezaji wazoefu aisee sio mchezoUSM ALGER wanashambulia sana yani wanapiga mpira kuliko opponents wao.
Asec Mimosa sijui ndio kwasababu yupo ugenini maana amedhibitiwa kila idara japo naye ameonesha ugumu
Hizi timu ukiangalia ni tofauti kabisa na mlizokutana nazoNabi hatabiriki, unaweza ukawaonea huruma hao Waarabu.
Matumaini niliyonayo licha ya kuwa tuna kocha mzuri lakini tuna wachezaji quality, hatuwategemei tena kina Ditram Nchimbi, hata umlete Pep Guadiola ni kazi bure.
Uzuri wa football ukikutana na timu inajuwa na inacheza kwa speed unaadopt mfumo.Yaan kinachowasaidia ni kuwa kuna wachezaji wazoefu aisee sio mchezo
Mganga wa Waarabu Nyoko
Nakubari MANENO yakoHizi timu ukiangalia ni tofauti kabisa na mlizokutana nazo
Tegemea mpira mgumu sana
Utofauti ni upi? Hizo timu zote zilishafungwa magoli zaidi ya moja na timu ambazo Yanga imeshawatoa kwa aggregate ya goli zaidi ya moja.Hizi timu ukiangalia ni tofauti kabisa na mlizokutana nazo
Tegemea mpira mgumu sana
Ndio maana ya Fainali, mpaka sasa kwa hatua waliyofikia timu ni bonus hatuna cha kuwadaiHizi timu ukiangalia ni tofauti kabisa na mlizokutana nazo
Tegemea mpira mgumu sana
Uwongo. Mpira wa kucheza Algiers utopo hunaNingetamani tukutane na Alger