Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Wasauzi waendelee tu kukaza upo wakati nyota itahamia upande wao, hakuna kukata tamaa kamwe.That goes direct kwa timu yao ya Taifa Bafana Bafana, wana ligi nzuri, ngumu na yenye ushindani lakini timu zao hazifiki mbali mashindano ya ngazi ya club na timu ya taifa
Leo wameponzwa sana na Over confidenceThat goes direct kwa timu yao ya Taifa Bafana Bafana, wana ligi nzuri, ngumu na yenye ushindani lakini timu zao hazifiki mbali mashindano ya ngazi ya club na timu ya taifa
Inaonesha simba kule walibeba mzigo kichwani muda wote ni hatari.Hili halina shaka
Wamewa underate Waydad.Hawa Mamelod mechi ya kwanza walikuwa pungufu waliwezaje kuwamudu wydad nyumbani kwao.!!?
Watu wanapenda timu kuliko mchezo wenyewe ndio shidaHuo ni mtizamo hasi mzee, hizo cards walipewa na Wydad?! Walifanya makosa wakaadhibiwa na refa kwa rafu zao mbaya labda kama hakuangalia hiyo game. Acha watoke, kwakifupi hawa jamaa ni wajuaji sana sawa na timu ya Taifa ya Brazil. Wameshindwa kufunga goli kipindi cha kwanza, cha pili baada ya kupata goli la kwanza wakaanza show game likarudishwa, wakafunga la pili wakarudia ujinga ule ule wakajifunga. Sasa hapo kosa la mwarabu ni nini?! Acheni chuki binafsi hawa Masandawana wametolewa kwa ujinga wao
Nadhani mimi ndiye nilikuwa mmoka kati ya watu waliopinga kuwa Mamelod atalichukua hilo kombe, Wydad kusumbuliwa na Simba Sc basi akaitwa kibonde[emoji23].Bado mawili
[emoji23]Wydad sasa watafunguka na ndio watakubali kichapo zaidi.
Watu mlionyesha kiwango kikubwa sana cha dharau dhidi ya Wydad[emoji23].[emoji28][emoji28][emoji28] al ahly vs Mamelodi Sundowns
Ni bora ukose match ya man City vs inter kuliko hii game
ndio.kwaiyo wangetoka 0-0 ingakua penalt
Wasauzi na mpira wapi wapi wazee wa kwaito na masijui manini yale mastyle yao ya sa hivi.Kuna Mwamba aliwahi kuleta uzi unaosema "Mamelody Sundowns are overated" nadhani leo watu watakubaliana nae
Hongera sana Wydad Casablanca [emoji122][emoji122][emoji122]
Kwakua katolewa leo? Huko nyuma wakati anashinda mbona hamkusema?Kocha WA Mamelodi Hana mbinu kabisa ..wamrudishe Pitso
Sahihi kabisa kasro tu msimu wa 2018/2019 pekee ambapo Tp Mazembe ilimto Simba na hawakufika fainalimaranyingi imetokea anaemtoa Simba robo huwa anakwenda mpaka final.
Unamuunderrate bingwa mtetezi wa kombe??????Wamewa underate Waydad.
Nyinyi pia hamtakiwi kujivunia mpaka mlete kombe, hiki ndicho ambacho unajaribu kumaanisha hapa?Wanajivunia kutolewa
Alimshindwa Al Hilal mSudan katika hatua za awali kabisa, huku juu ataweza?Mamelod vipi tena..??!! aje nabi kuwasaidia
Wanasema financial ya kusafiri ya mashabiki ni shida.Hii michuano ya Africa ni magumashi tu yaan mambo yetu kivyetu vyetu kwann wasiige huko ulaya? Sasa hapo 2:2 na mechi iliyopita ilikuwa draw pia kwann wasiongeze dk tumpate mshindi wa kweli?
Haya njoo kwenye final eti home and away, sasa final gan inakuwa na mechi 2?
Yule ni overrated, hata ule ubingwa aliowahi kuchukua 2016 ulikuwa ni wa mezani.Kuna Mwamba aliwahi kuleta uzi unaosema "Mamelody Sundowns are overated" nadhani leo watu watakubaliana nae
Hongera sana Wydad Casablanca [emoji122][emoji122][emoji122]
Mwarabu anachukua kombe lile.Hiki ndio yanga wakizubaa kitawakuta overconfidence sio nzuri sana kwenye michezo.