Kwa mendez kulikuwa daraja la kijazi..kila mmoja alikuwa anapitia hapoMfano Vitinha leo alicheza mpira gani hasa wa kutosha?
Je Dembele?
Vipi Dogo aliyewafunga Intermilan goli 2 ktk UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2024/2025 naye alionekana kiubora?
Achraf Hakimi tangu awali hakuna alichoonesha na alistahili kadi nyekundu kwa kumpiga kipepsi Cole Palmer, alionesha ubora gani leo?
PSG ilizidiwa kimbinu tukubali ukweli hata kama ni mchungu, Mendez unamuonea bure tu ilihali makosa ni ya timu yote kiujumla.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
π€£Wadau shughuli haikuwa yao wakaivalia madela
Hata angecheza mwingine ungeendelea kulaumu vile vile na yote hayo ni baada ya PSG kufungwa.Kwa mendez kulikuwa daraja la kijazi..kila mmoja alikuwa anapitia hapo
Mbona akifanya vzur huwa tunasema?leo kapelea tumseme pia....ila kiujumla psg alikuwa hajakutana na kipimo sahih..kakutana nacho leoHata angecheza mwingine ungeendelea kulaumu vile vile na yote hayo ni baada ya PSG kufungwa.
Mbona hujawahi kumkosoa Mendez ktk mechi yoyote kabla ya leo?
Iweje ktk FIFA WORLD CLUB CUP 2025 ndiyo Mendez aonekane uchochoro ila si kwa mechi zingine nyingi ambapo alikuwa akiwa tegemezi kiubora?
Je Vitinha, Dembele, Desire Doue na Hakimi pia hawakuwa na ubora ktk mechi zingine mbali na mechi ya leo FIFA WORLD CLUB CUP 2025?
Ukiendelea kumlaumu zaidi ni mawazo yako ila jifunze kukubali mpira ndiyo mchezo pekee ambao haujawahi kutabirika kimatokeo.
Pia jifunze kuheshimu wapinzani wako hata kama wana madhaifu maana hawakufika fainali kwa bahati mbaya.
Kocha Luis Enrique alidai FIFA WORLD CLUB CUP ataitandika Chelsea FC zaidi ya goli 5, vipi baada ya dakika 90 matokeo yamekuwaje?
Lamine Yamal aliongea shits kwenye press conference kabla ya mechi "Kaumbwa kubeba makombe na hakuna yeyote wa kumzuia asibebe kombe la UEFA Nations league final 2025" Hukumbuki kilichomkuta ktk fainali hiyo Mkuu?
"Usijisifu unajua kukimbia bali msifu pia anayekukimbiza"
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Jifunze nguvu ya salaWachezaji wa Chelsea wameonekana wakifanya maombi badala ya mazoezi
View attachment 3404673
Relax, kibonde hafiki Fainali ya dunia.Wamekutana vibonde wote.
NjaaPsg tutashinda japo sio kirahisi.
Trump ni mwana football kitambo....NI Shabiki wa ArsenalAna onekana hakuna kitu ana elewa pale
Nashukuru kwa hoja nzuri Mkuu.Mbona akifanya vzur huwa tunasema?leo kapelea tumseme pia....ila kiujumla psg alikuwa hajakutana na kipimo sahih..kakutana nacho leo
ππIla PSG wamegeuka vituko uwanjani π
Na Kanjibai kapita na pesa yako wima wima mazima πNimewafuata PSG Mazima!
Ni saikolojia. Ulichozoea kuwafanyia wenzako siku ukifanyiwa wewe lazima dishi liyumbe!Ila kweli wanapenda Shari japo wachezaji wa PSG wanawahi kupanick sana
Huyo Mendez garasa tu hamna kitu yaani Jana Kawa uchochoro wanaume wanapitia kwake yeye anajibinua tuHata angecheza mwingine ungeendelea kulaumu vile vile na yote hayo ni baada ya PSG kufungwa.
Mbona hujawahi kumkosoa Mendez ktk mechi yoyote kabla ya leo?
Iweje ktk FIFA WORLD CLUB CUP 2025 ndiyo Mendez aonekane uchochoro ila si kwa mechi zingine nyingi ambapo alikuwa akiwa tegemezi kiubora?
Je Vitinha, Dembele, Desire Doue na Hakimi pia hawakuwa na ubora ktk mechi zingine mbali na mechi ya leo FIFA WORLD CLUB CUP 2025?
Ukiendelea kumlaumu zaidi ni mawazo yako ila jifunze kukubali mpira ndiyo mchezo pekee ambao haujawahi kutabirika kimatokeo.
Pia jifunze kuheshimu wapinzani wako hata kama wana madhaifu maana hawakufika fainali kwa bahati mbaya.
Kocha Luis Enrique alidai FIFA WORLD CLUB CUP ataitandika Chelsea FC zaidi ya goli 5, vipi baada ya dakika 90 matokeo yamekuwaje?
Lamine Yamal aliongea shits kwenye press conference kabla ya mechi "Kaumbwa kubeba makombe na hakuna yeyote wa kumzuia asibebe kombe la UEFA Nations league final 2025" Hukumbuki kilichomkuta ktk fainali hiyo Mkuu?
"Usijisifu unajua kukimbia bali msifu pia anayekukimbiza"
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Na Kanjibai kapita na pesa yako wima wima mazima
AiseeKufungwa psg lawama zote ziende kwa mangungu