FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Dah! Baada ya kuwafunga Simba😄🤦🏾‍♂️

Utadhani mmeshinda club World Cup or something
 
Utopolo vp mnataka toa draw?? Tumeweka hela sisi
 
Refa anatumia muda mwingi sana kupiga stori na wachezaji. Refa anachangia kutupotezea muda.
 
Eeh Mungu unajua nachohitaji kwa wadogo zangu wa Tanga
Mke mdogo naona anaharibu ladha ya mpira kwa kufanya vituko wakiogopwa kupigwa mkono wa nyani kama mke mkubwa. Waambie watulie, wakipigwa kadi nyekundu msianze kujiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…